China Vijijini........ Xi Jinping Vows No Poverty in China by 2020. That Could Be Hard...

It is hard until it is done!

By the way hizo picha hata kwa Trump zipo! Sema hawakuonyeshi so huwezi kuziona.
Zipo kibao mitandaoni,sema uvivu wako tu kusoma.Kule Detroit maisha ni magumu kweli.Just goofle utaona.
 
Mbona kama picha hiz ni za mafuriko mkuu au ndio mnaanza propaganda zenu kwan us hakuna umaskini
Dah... Acha uvivu mkuu, hiyo taarifa imetolewa na rais wa nchi hiyo, na hapo ndiyo maisha halisi ya raia wa china vijijini...

Ni mataifa machache sana yenye uchumi imara ambayo hakuna umaskini kabisa....

Illi nchi iendelee lazma nchi kama nchi itengeneze
Matajiri sana
Raia wa kawaida
Maskini sana

Na huko Marekani kuna majimbo yenye umaskini balaa...
wXt7qpKHJpbwQOh2WIRrNeNF9n2ZSGQ0MFpMJrBbFL06Gyq4joo2hAw-Ail8xxCMqKUWGL9uNMiL6QtN_r_IUJ4PvY2iqXYTA1ZOeGc-Fp_KCDqz2KUJ6KlAHE2ceAPHcS0
 
Taifa letu lina umri wa miaka 50 lakini watu wanavyopiga kelele utadhani nchi hii ni sawa kiumri na mataifa mengine kama Marekani ingawa nako bado umaskini upo. Swala hapa ni kujituma! Porojo wanazoleta Ukawa hazitaifikisha hii nchi popote.
Ukijituma wanakumiminia risasi 38.
 
Taifa letu lina umri wa miaka 50 lakini watu wanavyopiga kelele utadhani nchi hii ni sawa kiumri na mataifa mengine kama Marekani ingawa nako bado umaskini upo. Swala hapa ni kujituma! Porojo wanazoleta Ukawa hazitaifikisha hii nchi popote.
Miaka 50 syo masikhara,tatizo unaleta siasa kwenye ukwel,viongoz wanaingia mikataba mibovu kias cha kuwapa wawekezaji 6% kwa 94% ya mrahaba bado mnafurahia na kuona sawa,hayo maendeleo mtayapata wapi? kama siyo ndoto
 
Taifa letu lina umri wa miaka 50 lakini watu wanavyopiga kelele utadhani nchi hii ni sawa kiumri na mataifa mengine kama Marekani ingawa nako bado umaskini upo. Swala hapa ni kujituma! Porojo wanazoleta Ukawa hazitaifikisha hii nchi popote.
Hivi Namibia wana miaka mingapi vile? Na wana natural resources kama zetu au zaidi? Mbn wana resources chache na ni taifa changa na Tz ila wako mbele yetu sana tu. Tusijifariji kuwa taifa changa. Huo ni uhai wa mtu mzima kabisa anaekaribia kustaafu kama aliajiriwa. Tumezembea kama taifa na hilo lazima tukubali. Kama kuna watu walibeba mikataba ya madini kuwapelekea wazungu huko London, kama Twiga walipanda ndege, kama mikataba mibovu (mrabaha ni 3% tu kwa serikali inayohudumia watu zaidi ya 30+ by then) iliingia kwa hati ya dharura na ikapitishwa. Kwanini tubakie tunasema taifa changa?
Tumejikaanga na mafuta yetu wenyewe
 
So miaka 50 unaona inafanana na hali yetu ? Nakukumbusha tu southa africa ina miaka 23
Hapana, South Africa Nadhani ilianza kujitawala hata kabla ya India, tena hapa tunawazungumzia utawala wa ndani kwa wa ndani wenyewe. Ila Kama taifa lilikuwepo kipindi kirefu. Kati ya mataifa makongwe ulimwenguni Egypt na Ethiopia yapo,ktk hilo China nalo si la kubezwa. Taifa la Tanzania ni la juzijuzi tu, miongoni mwa mataifa machanga kabisa ulimwenguni.
 
Hivi Namibia wana miaka mingapi vile? Na wana natural resources kama zetu au zaidi? Mbn wana resources chache na ni taifa changa na Tz ila wako mbele yetu sana tu. Tusijifariji kuwa taifa changa. Huo ni uhai wa mtu mzima kabisa anaekaribia kustaafu kama aliajiriwa. Tumezembea kama taifa na hilo lazima tukubali. Kama kuna watu walibeba mikataba ya madini kuwapelekea wazungu huko London, kama Twiga walipanda ndege, kama mikataba mibovu (mrabaha ni 3% tu kwa serikali inayohudumia watu zaidi ya 30+ by then) iliingia kwa hati ya dharura na ikapitishwa. Kwanini tubakie tunasema taifa changa?
Tumejikaanga na mafuta yetu wenyewe
Namibia ina watu wangapi ili tugawanye na kupata uwingi ama uchache wa rasilimali za taifa, isije ikawa unailinganisha nchi kama kanda yetu ya kaskazini ambayo ingekuwa nchi uchumi wake ungeipita hiyo nchi.
 
That's Xi's pipedream of the year to eradicate extreme poverty the rural Chinese residents have knowing that the Chinese living in extreme poverty is about ¾ of China population, and the government itself is unable to cub the problem within that period of less than 3 years.
kumbeeee..asante kwa kusema ukweli
 
upload_2017-11-5_14-21-47.png

kWANZA CHINA ANAJITAHIDI SANA UKILINGANISHA NA PUPULATION YAKE,IMAGINE IDADI YA WATU KTK NCHI ZINAZOONGOZA KWA WATU WENGI DUNIANI USA,INDONESIA,BRAZIL,PAKISTAN,NIGERIA,BANGALADESHI NA RUSSIA UKIJUMLISHA IDADI YA WATU KATIKA HIZO NCHI NDIO INAFIKIA IDADI WA WATU WA CHINA
 
kama umeshawahi kutembelea nchi mbali mbali duniani utajua tuu, hatuna tofauti sana za kimaisha, kuna masikini urusi kama tz, tulichozidiana ni miundo mbinu na utawala wa biashara, kingine watanzania tunakariri sana, mzungu utakuemuona tz ujue ni middle au higher income earner, hamna poor yoyote atajishughulisha kupoteza 10k usd kuja Afrika, kama ilivyo wengi wa watanzania wanaoenda huko ukiangangalia uchumi wao una ka unafuuu kidogo
 
Back
Top Bottom