China Vijijini........ Xi Jinping Vows No Poverty in China by 2020. That Could Be Hard...

Ni ngumu kiasi kwa muda huo,ingekuwa by 2025 possible ila baada ya CCP kupitisha "thoughts" zake ziingine kwenye katiba kama za MAO anaweza
 
That's Xi's pipedream of the year to eradicate extreme poverty the rural Chinese residents have knowing that the Chinese living in extreme poverty is about ¾ of China population, and the government itself is unable to cub the problem within that period of less than 3 years.
 
It is hard until it is done!

By the way hizo picha hata kwa Trump zipo! Sema hawakuonyeshi so huwezi kuziona.
 
Taifa letu lina umri wa miaka 50 lakini watu wanavyopiga kelele utadhani nchi hii ni sawa kiumri na mataifa mengine kama Marekani ingawa nako bado umaskini upo. Swala hapa ni kujituma! Porojo wanazoleta Ukawa hazitaifikisha hii nchi popote.
So miaka 50 unaona inafanana na hali yetu ? Nakukumbusha tu southa africa ina miaka 23
 
Wanaweza ila sio by 2020 maana ni karibu mnooo but by 2030 they can kwani kazi yanapiga haya majamaa sio kitoto 24 hrs a day.
 
China imefanya maajabu ambayo hayajawahi kuotokea kwa kasi ya kukua uchumi, kwa miaka 30 raia million 500 wametoka kwenye umasikini na kuingia katika maisha ya kati , uchumi umekuwa ukipanuka 10% kila mwaka na imeza kuwa uchumi wa pili kwa ukubwa duniani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…