Wabongo buana,we unadhan Xi JinPing ni kama Magufuli....Ni ngumu kiasi kwa muda huo,ingekuwa by 2025 possible ila baada ya CCP kupitisha "thoughts" zake ziingine kwenye katiba kama za MAO anaweza
So miaka 50 unaona inafanana na hali yetu ? Nakukumbusha tu southa africa ina miaka 23Taifa letu lina umri wa miaka 50 lakini watu wanavyopiga kelele utadhani nchi hii ni sawa kiumri na mataifa mengine kama Marekani ingawa nako bado umaskini upo. Swala hapa ni kujituma! Porojo wanazoleta Ukawa hazitaifikisha hii nchi popote.
zipo nyingi tu sema ww ndo hujawahi kuzionaIt is hard until it is done!
By the way hizo picha hata kwa Trump zipo! Sema hawakuonyeshi so huwezi kuziona.
ungekua mwelewa usingetumia south Africa Katika hoja yako.So miaka 50 unaona inafanana na hali yetu ? Nakukumbusha tu southa africa ina miaka 23
Mbona kama picha hiz ni za mafuriko mkuu au ndio mnaanza propaganda zenu kwan us hakuna umaskini