China kutuma wanaanga Watatu angani leo

Hong Kong(CNN)A rocket carrying three veteran astronauts bound for China's orbiting space station module will launch from the Gobi Desert in the country's north in just over 24 hours, China's space agency announced Wednesday.

The three men, Nie Haisheng, 56, Liu Boming, 54, and Tang Hongbo, 45, will become the first Chinese astronauts to land on the initial stages of the space station, called Tiangong or Heavenly Palace, which is still under construction in a low Earth orbit.

China's Manned Space Engineering Office made the announcement at a news conference on Wednesday, saying the launch would take place at 9:22 a.m. Beijing time (9:22 p.m. ET) Thursday from Jiuquan Space Launch Center in the Gobi Desert.

Huyo wa katikati ni nduguye Jet Li? 😬😬😬
 
Wao wangepigana kuwaondoa wananchi wao wengi ambao bado wanaishi chini ya mstari wa umaskini kwenye ufukara kabla ya kuhangaika na hayo ya kwenda sijui wapi huko mradi ambao hauna faida yoyote kwa hao walala hoi.
 
Imperialism stupidity
 
kama unahisi umaskini unaondolewa kama hvyo unavyowaza pole sana kijana mkubwa mkubwa
inaonekana umeumia sana nahaya maendeleo ya UCHINA

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Hivi sisi tunafeli wapi?
Yaani unaongelea kupaa wakati hata kutambaa hatujaweza ?

Tuwe na SMART Objectives...; Tuendelee tu kwanza kupigana na Maadui wetu watatu (Ujinga, Maradhi na Umasikini) hayo mengine yatakuja automatic tu tukishapata haya...
 
Back
Top Bottom