Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,760
- 25,653
Utakufa na wivu wako. Ninyi ndio mlikuwa mnaombea mradi usiendelee ili mpate maneno ya kuongea uzushi na uchonganishi wenu kwa wananchiTumehamia Asia sasa hivi kutembeza bakuli? Tutegemee Wachina kuajiliwa kwenye SGR kama watu wa Uendeshaji na Utawala.
Tanzania Tanzania tunakupenda lakini Watawala wameamua kukugeuza na kukuchezea tu. 😭😭😭😭
Wivu na chuki binafsi ndio vinavyokusumbua sana weweR.I. P Magufuli
sasa Tanzania imerudi kuwa ombaomba tena
Kwani Magu aliwahi kujenga kipande kipi kwa hela za watanzania?? Reli kuanzia Dar-Moro-Dom inajengwa kwa fedha za wafadhili. Kipande cha Dar-Moro-Dom kimejengwa mkopo wa Masharti nafuu kutoka Benki ya Exim ya China.R.I. P Magufuli
sasa Tanzania imerudi kuwa ombaomba tena
Thank you Republic China🌹Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ambao unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia Mwanza hadi Isaka na kuahidi kuyafanyia kazi maombi mengine ya kipande cha sita kinachoanzia Tabora hadi Kigoma.
Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China hapa Nchini, Chen Mingjian, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu ya ushirikiano kati ya China na Tanzania uliodumu kwa miaka 60 sasa.
Pia, soma: Kwanini ujenzi wa SGR hapa Mwanza umesimama?
Dkt. Nchemba amesema kuwa Mradi wa Reli ya Kisasa ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya Watanzania na kwamba ujumbe wa Balozi Chen kwamba China kupitia Taasisi zake inakamilisha taratibu za ndani za kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa reli hiyo umepokelewa kwa mikono miwili na Serikali.
Kwa upande wake, Balozi wa China hapa Nchini, Chen Mingjian, amesema kuwa Nchi yake inauchukulia uhusiano wake na Tanzania kuwa ni wa kipekee na kwamba maelekezo ya Kiongozi wa nchi hiyo Mheshimiwa XI Jinping ni kwamba anataka uhusiano huo uwe wa mfano na kielelezo Afrika.
Amesisitiza kuwa maombi ya Tanzania ya kupata fedha kwa ajili ya kipande cha tano na mengine ya kutaka ufadhili wa ujenzi wa kipande cha 6 yamepokelewa na kwamba uamuzi wake utatolewa hivi karibu baada ya mambo machache yanayofanyiwakazi kukamilika.
Amesema mpango wa miaka mitatu wa China wa ushirikiano kati yake na nchi za Afrika (FOCAC), umeitengea Tanzania kiasi kikubwa cha fedha ambazo zitaelekezwa katika miradi inayogusa masuala ya uchumi wa kijani, biashara na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT).
View attachment 3119766
Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian, akiwa na ujumbe kutoka ubalozi wa china nchini, wakimsikiliza Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), wakati wa kikao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu ya ushirikiano kati ya China na Tanzania uliodumu kwa miaka 60 sasa. Kushoto ni Bw. Chu Kun na kulia ni Katibu wa Balozi, Bi. Ma Shukun.
Utashangaa CHADEMA wananuna na kuchukia .maana akili zao wanazijuwa wao wenyewe.Thank you Republic China🌹
halafu sasa utakuta eti balozi wa Marekani akiona hii anakasirika 🤣
We utaishi milele?Utakufa na wivu wako. Ninyi ndio mlikuwa mnaombea mradi usiendelee ili mpate maneno ya kuongea uzushi na uchonganishi wenu kwa wananchi
Kaa kwa kutulia utafurahi Mwenyewe.Kwa sasa Taifa lipo mikono salama ya Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Huo ufadhili masharti yake yakoje? Hivi kuna tofauti kati ya ufadhili na mkopo au ufadhili na msaada?
Wakati wa JPM huo uombaomba wetu ulikuwepo pia. Hakujawahi kuwepo awamu ya uongozi ambayo imeweza kufanya miradi mikubwa kwa pesa zetu wenyewe.Kwani Magu aliwahi kujenga kipande kipi kwa hela za watanzania?? Reli kuanzia Dar-Moro-Dom inajengwa kwa fedha za wafadhili. Kipande cha Dar-Moro-Dom kimejengwa mkopo wa Masharti nafuu kutoka Benki ya Exim ya China.
Wala sijasoma ila ninachosema ni kuwa NAKUPENDA SANA TANZANIA NCHI YANGUWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ambao unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia Mwanza hadi Isaka na kuahidi kuyafanyia kazi maombi mengine ya kipande cha sita kinachoanzia Tabora hadi Kigoma.
Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China hapa Nchini, Chen Mingjian, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu ya ushirikiano kati ya China na Tanzania uliodumu kwa miaka 60 sasa.
Pia, soma: Kwanini ujenzi wa SGR hapa Mwanza umesimama?
Dkt. Nchemba amesema kuwa Mradi wa Reli ya Kisasa ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya Watanzania na kwamba ujumbe wa Balozi Chen kwamba China kupitia Taasisi zake inakamilisha taratibu za ndani za kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa reli hiyo umepokelewa kwa mikono miwili na Serikali.
Kwa upande wake, Balozi wa China hapa Nchini, Chen Mingjian, amesema kuwa Nchi yake inauchukulia uhusiano wake na Tanzania kuwa ni wa kipekee na kwamba maelekezo ya Kiongozi wa nchi hiyo Mheshimiwa XI Jinping ni kwamba anataka uhusiano huo uwe wa mfano na kielelezo Afrika.
Amesisitiza kuwa maombi ya Tanzania ya kupata fedha kwa ajili ya kipande cha tano na mengine ya kutaka ufadhili wa ujenzi wa kipande cha 6 yamepokelewa na kwamba uamuzi wake utatolewa hivi karibu baada ya mambo machache yanayofanyiwakazi kukamilika.
Amesema mpango wa miaka mitatu wa China wa ushirikiano kati yake na nchi za Afrika (FOCAC), umeitengea Tanzania kiasi kikubwa cha fedha ambazo zitaelekezwa katika miradi inayogusa masuala ya uchumi wa kijani, biashara na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT).
View attachment 3119766
Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian, akiwa na ujumbe kutoka ubalozi wa china nchini, wakimsikiliza Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), wakati wa kikao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu ya ushirikiano kati ya China na Tanzania uliodumu kwa miaka 60 sasa. Kushoto ni Bw. Chu Kun na kulia ni Katibu wa Balozi, Bi. Ma Shukun.
Acha uvivu.wewe huwezi kuwa hata kiongozi maana utasainishwa mikataba ya kimangungo kwa kushindwa kwako kusoma kilichoandikwaWala sijasoma ila ninachosema ni kuwa NAKUPENDA SANA TANZANIA NCHI YANGU
Wamependeza.....Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ambao unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia Mwanza hadi Isaka na kuahidi kuyafanyia kazi maombi mengine ya kipande cha sita kinachoanzia Tabora hadi Kigoma.
Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China hapa Nchini, Chen Mingjian, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu ya ushirikiano kati ya China na Tanzania uliodumu kwa miaka 60 sasa.
Pia, soma: Kwanini ujenzi wa SGR hapa Mwanza umesimama?
Dkt. Nchemba amesema kuwa Mradi wa Reli ya Kisasa ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya Watanzania na kwamba ujumbe wa Balozi Chen kwamba China kupitia Taasisi zake inakamilisha taratibu za ndani za kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa reli hiyo umepokelewa kwa mikono miwili na Serikali.
Kwa upande wake, Balozi wa China hapa Nchini, Chen Mingjian, amesema kuwa Nchi yake inauchukulia uhusiano wake na Tanzania kuwa ni wa kipekee na kwamba maelekezo ya Kiongozi wa nchi hiyo Mheshimiwa XI Jinping ni kwamba anataka uhusiano huo uwe wa mfano na kielelezo Afrika.
Amesisitiza kuwa maombi ya Tanzania ya kupata fedha kwa ajili ya kipande cha tano na mengine ya kutaka ufadhili wa ujenzi wa kipande cha 6 yamepokelewa na kwamba uamuzi wake utatolewa hivi karibu baada ya mambo machache yanayofanyiwakazi kukamilika.
Amesema mpango wa miaka mitatu wa China wa ushirikiano kati yake na nchi za Afrika (FOCAC), umeitengea Tanzania kiasi kikubwa cha fedha ambazo zitaelekezwa katika miradi inayogusa masuala ya uchumi wa kijani, biashara na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT).
View attachment 3119766
Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian, akiwa na ujumbe kutoka ubalozi wa china nchini, wakimsikiliza Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), wakati wa kikao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu ya ushirikiano kati ya China na Tanzania uliodumu kwa miaka 60 sasa. Kushoto ni Bw. Chu Kun na kulia ni Katibu wa Balozi, Bi. Ma Shukun.
Kabisa. Tena wakati ule omba omba na mikopo isiyo rafiki kwa nchi ilikuwa inasaniwa kimya kimya.Wakati wa JPM huo uombaomba wetu ulikuwepo pia. Hakujawahi kuwepo awamu ya uongozi ambayo imeweza kufanya miradi mikubwa kwa pesa zetu wenyewe.
Huwa nasoma vitabu vitano Kila siku vitabu tofauti tofauti page 10 Kila kitabu siwezi soma kwasababu najua kabisa kilichokuwepo humo ni uozo uliofanywa kwa kupenda kutegemea nchi tajiri duniani okay endelea kuhukumu kabla kuhoji wakiliAcha uvivu.wewe huwezi kuwa hata kiongozi maana utasainishwa mikataba ya kimangungo kwa kushindwa kwako kusoma kilichoandikwa
Yule mshika pesa mkuu wa wakati ule James, alichukua sana mikopo kwa taasisi za kimataifa.Kabisa. Tena wakati ule omba omba na mikopo isiyo rafiki kwa nchi ilikuwa inasaniwa kimya kimya.