China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Dah sijawahi kufikiria kufanya hizi mingo ila huu ushauri (uzi) umenitoa shambani, naanza kuziona safari za China kwa mbaali. Nitumie app gaani mkuu kuangalia bidhaa za electronics na viatu Toka China?
 
Wasalam wakuu,naomba kujuzwa,je, ukiwa million I kumi na tank(Tsh.15,000,000)inatosha kufuata mzigo (nguo za watoto wachanga) Guangzhou?hapo ni nje na nauli! Natanguliza shukrani.
Kwa uzoefu wangu mdogo .....anza kuagiza kwanza wapo watu wengi sana wanatuma iyo mizigo hata silent ocean wameweka kwenye page yao link za masoko nguo za watoto (guongzhou)...kuna manzi mmoja anaitwa faiza anagroup la telegram na watsapp unaagiza ndani ya mwezi ushapata wako wengi wanafanya ivi ila huu ni kwa mwanzo sababu ya kutumia hawa watu nikwamba wanajua mzigo gani umenunuliwa sana upi ndo unaoanza trend .....niushauri tu mkuu
 
Hii sio poa ndugu...unapaswa chat zenu ziwe kwenye mtandao wa alibaba
Unaposema mambo yote mfanyie kwenye alibaba hii ina maana gani? Mfano mm nimempata supplier kupitia alibaba na baada ya kuchat pale tukatumia whatsap kwa mawasiliano rahic ,je hii inaweza kuwa mawasiliano nje ya Alibaba?
 
Me nahitaji kufanya Malipo alibaba lakini naambiwa payment unsuccessful
Natumia master card na salio lipo la kutosha msaada nifanyaje tafadhari
 
Me nahitaji kufanya Malipo alibaba lakini naambiwa payment unsuccessful
Natumia master card na salio lipo la kutosha msaada nifanyaje tafadhari
Inaezekawa malipo unayofanya ni makubwa ambayo watu wa benki unayotumia hawakuregister uwe unafanya malipo kama hayo wasiliana na benki yako watakurekebishia in no time
 
Huu uzi umeshiba.
 
Asante kwa uzi mzuri wakati unandikwa nilikua form 3 sasa nimekua itasaidia na vizazi vijavyo nimejua wapi pakuanzia sasa wadau (kipilipili na wachangiaji wengine) mnaweza update vitu vilivyobadilika sheria zikoje na kuhusu masoko yakoje maana uliandikwa mda kama hamna kilichobadilika basi ni sawa
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…