Kyindikibisi
Member
- Apr 7, 2018
- 72
- 35
mku naomba kufahamu , ni kampuni gani inayohusika kununua na kusafirisha mzigo pasipokuwa na udanganyifu wowote?
Silent ocean wanasafirisha ila hawauzi bidhaa
mku naomba kufahamu , ni kampuni gani inayohusika kununua na kusafirisha mzigo pasipokuwa na udanganyifu wowote?
Hii inafariji sana.! Shukran za pekee kwa wachangiaji wote.Moja kati ya nyuzi bora kabisa kuwahi kutokea hapa JF Mheshimiwa Kipilipili hongera sana kaka. Kuna mtu namjua ali print hii nyuzi ikawa ndio Direction yake alivyosafiri kwa mara ya kwanza China, kwa kweli umemsaidia sana inagawa kuna baadhi ya mambo yamebadilika sana kutokana na sheria za TRA hapa TZ.
Wapo watu binafsi/kampuni za kitanzania ambazo zina ofisi/maduka Tanzania na zinatoa huduma hiyo ya kununua na kusafirisha mzigo na unapokea mzigo wako kwenye ofisi/maduka yao yaliyopo Tanzania. Nitataja baadhi unaweza google na utapata mawasiliano yao. Baadhi ni silent ocean (wameanza kutoa huduma hii hivi karibuni), GNM Cargo, Tuagize Co.Ltd (mashine na vifaa vya ujasiriamali. Facebbook/Instagram@tuagizeltd), Afigreen (Vifaa vya ufugaji. Nadhani sina hakika sana ila Instagram pia wanatumia jina hili, ), Salome furniture/collection Dodoma (Furniture & Nguo). Pia wapo watu maarufu wengi wanaotoa huduma hiyo.mku naomba kufahamu , ni kampuni gani inayohusika kununua na kusafirisha mzigo pasipokuwa na udanganyifu wowote?
Mimi naulizia Ream paper, nitapata kwa bei gani kutoka china? gharama za usafirishaji na kodi vipi? Mwenye uzoefu anielekeze. Ahsante
Mkuu, pitia mwanzo wa thread hii zipoNaomba nisaidie link za wasafirishaji wa meli
mkuu, unatuharibia uzi.Unatafuta partner kutoka nje ya nchi? au unataka kuuza huduma/bidhaa zako ndani na nje ya nchi?
Basi, kutana na viongozi wa biashara wanaonadi biashara zao kupitia mtandao wa lenkeer.com.
Jiunge Bure sasa hii na upate nafasi ya kushida account VIP bure yenye thamani ya $200!
JIUNGE SASA NA USHINDE. https://www.lenkeer.com/register
Nikitaka kuexport mazao ya jamii ya kunde kama choloko, Dengu
inatakiwa niwe na mtaji wangu tu ? Kwani siwezi kunegotiate na buyers akanipa feza nikamukusanyia
maana ukiwa na mtaji kidogo biashra ya export ni ngumu
Hili nimeshajibu nadhani, ila kwa faida ya wengine, google kampuni hizi utapata mawasiliano yao kwenye mitandao ya kijamii. Zote zinatoa huduma hiyo unayohitajimku tunashukulu sana kwa ushauli wako maana umetuelewesha kwa uzoefu mkubwa wa hali ya juu , me nilikuwa naomba msaada wa kupata au kufahamu kampuni ambayo inaweza kununua na kusafirisha bidhaa kutoka china mpka tanzania, maana kuna wengine hatuna ndugu , rafiki, wanaokaa china na je, hayo makampuni ya hayana wizi au utapeli wa aina yyte.natanguliza shukrani zangu za dhati mkuu.
asante,
Mkuu vp delivery time yao?uzi safi sana.. leo tu nimetuma usd zangu 3000 pale silent ocean...
huduma nimepata safi.. mdada mrembo recho na totoz za kiarabu zinapiga kazi safiiiiii...
kiukweli dunia sasa kama kijiji... kila unachotaka kinapatikana mikononi.mwako
Hili nimeshajibu nadhani, ila kwa faida ya wengine, google kampuni hizi utapata mawasiliano yao kwenye mitandao ya kijamii. Zote zinatoa huduma hiyo unayohitaji
Silent ocean, Tuagize Co.Ltd, GNM cargo, Thebridgetz, Afigreen, Tanzania food processing club nk
Hiyo machine ya kutengenezea ice cream/barafu! Unamaanisha hizi za Mia Mia au zile za bakhresa?Mkuu , huo mtaji wa 5000 USD( 5000X6.2 元= 31,000 元)huo ni mtaji mkubwa tu na unaweza kufanya biashara kwa baadhi ya vitu ikiwa tu hiyo itakuwa ni nje ya nauli na pesa ya kujikimu.
BACK TO YOUR QN. Sina current price ya baadhi ya machines lakini unaweza kununua machine zifuatazo kwa mtaji wako:
1. Machine ya kutengeza bisi(popcorn )
2. Machine ya kutengeneza ice cream/ barafu
3. mashine ya kutengenezea juice mbalimbali(juicer). kama machungwa(ninayo MPYA ambayo haitumii umeme, ukihitaji tuwasiliane)
4. Mashine ya kukaangia chips(ninayo MPYA,ukihitaji tuwasiliane)
5. Mashine ya kutotolea vifaranga
6. Mashine ya kubania glasi za juice km take away(ninayo MPYA, ntafute kama unahitaji )
Nk. Wengine wataongezea
Habari mkuu,kwanza pongezi kwa kuanzisha uzi bora kabisaHili nimeshajibu nadhani, ila kwa faida ya wengine, google kampuni hizi utapata mawasiliano yao kwenye mitandao ya kijamii. Zote zinatoa huduma hiyo unayohitaji
Silent ocean, Tuagize Co.Ltd, GNM cargo, Thebridgetz, Afigreen, Tanzania food processing club nk
Nina maanisha dollar za marekani elfu kumi kuendelea mbele.Habari mkuu,kwanza pongezi kwa kuanzisha uzi bora kabisa
Japo sijapitia thread zote za nyuma najua unaweza kua ulifafanua,ninachotaka kujua mimi ni jinsi unaweza kwenda na fedha nyingi china yani kama una dollar kuanzia elfu kwenda mbele maana pale airport huwa hawaruhus kupita na kiasi kikubwa cha fedha
Na je ukitaka kununua vitu china kwa kampuni zilizokua listed kwenye online platform ya alibaba kuna usalama kiasi yani niwatumie tu hela na mzigo uje bila mimi kwenda china inawezekana hicho kitu kwa uzoefu wako?
Na je hapa tanzania kuna bank ambazo zina ingiliana na bank za china yani kiasi kwamba nikiweka hela bongo hapa kwenye account na nikifika china nina toa bila shida kiasi kikubwa sio kwa ATM(visa) maana hapo nitatoa kidogo kidogo sana japo sijui masharti ya kule china yapoje kwenye masuala ya bank
Naomba uzoefu wako kwenye hili
kwenye kulipa alibbaba hapo hakikisha unalipia alibaba na sio kumlipa supplier..ila kwny kusafiri na hela hapo sjajuaHabari mkuu,kwanza pongezi kwa kuanzisha uzi bora kabisa
Japo sijapitia thread zote za nyuma najua unaweza kua ulifafanua,ninachotaka kujua mimi ni jinsi unaweza kwenda na fedha nyingi china yani kama una dollar kuanzia elfu kwenda mbele maana pale airport huwa hawaruhus kupita na kiasi kikubwa cha fedha
Na je ukitaka kununua vitu china kwa kampuni zilizokua listed kwenye online platform ya alibaba kuna usalama kiasi yani niwatumie tu hela na mzigo uje bila mimi kwenda china inawezekana hicho kitu kwa uzoefu wako?
Na je hapa tanzania kuna bank ambazo zina ingiliana na bank za china yani kiasi kwamba nikiweka hela bongo hapa kwenye account na nikifika china nina toa bila shida kiasi kikubwa sio kwa ATM(visa) maana hapo nitatoa kidogo kidogo sana japo sijui masharti ya kule china yapoje kwenye masuala ya bank
Naomba uzoefu wako kwenye hili
kuhusu masoko ya viatu kama utasafiri kuja china utayapata guangzhou.Ila kama utataka kununua mtandaoni alibaba basi malipo ufanyie kwa platform yao ili kama supplier akisumbua uweza kulalamika.Usikubali supplier akwambie ufanye payment kwa wire transfer kwenda kwenye acc yake ya bank.Pia jitahid kununua kwa gold suppliers.
kuhusu kusafirisha kuna makampuni meng ukiachana na silent ocean.Kuna GNM,ZAZEME na zingine nyingi.Nadhan ukiukagua huu uzi utaona kuna sehemu nilishare contacts zao.Good luck mkuu