Bado sijaelewa uwezo wa kufikiri wa hii government especially Ngeleja. Badala ya kuingia gharama zote hizo kujenga pipeline toka Mtwara hadi Dar es Salaam kwa nini wasijenge a gas infrastructure hapo Mtwara then wakaunganisha kwenye grid ya Taifa kupitia kihansi? DAR kwa sasa kumejaa mimashine na sioni logic (hata kiusalama) kuweko main infrastructure zote DAR! Kama wangejenga mitambo Mtwara isingerimu mabilioni yote haya na hawa wachina wasingemiliki 80% ya mgodi wa MCHUCHUMA. Baada ya mikataba ya Barrick bado tunaongozwa ni vichwa vya wendawazimu.
Instead of the Pipeline why not upgrade the Mtwara Port to international Standards?
Watasafirisha COAL, IRON ORE, GAS and other Minerals...
Kuliko kutegemea Bandari ya Dar
Mambo gani hayo ?Tumezingatia mambo mengi sana
Mambo gani hayo ?
Kuna wakati uwa najiulizaga , hivi ni kila wakati maofisa wa serikali yetu huwa wanaongwa au ?
Kama wamekosea , kwa nini "washenzi" wengine wanaendelea kuwatetea tu ?
What does it cost kukubali makosa na kuyarekebisha ?
It is cheaper to transport LNG in pipeline than in tankers haswa kwa matumizi ya humu ndani na nchi jirani! Pipeline is the best option kwa sasa haswa ukizingatia dar is the economic center of the country! BTW British gas wako mbioni kujenga gas refinery infrastructure mtwara ikiwemo port kwa kwa ajili ya kusafirisha overseas!Instead of the Pipeline why not upgrade the Mtwara Port to international Standards?
Watasafirisha COAL, IRON ORE, GAS and other Minerals...
Kuliko kutegemea Bandari ya Dar
Tatizo lako unadhani hiyo gasi yoote itaenda katika matumizi ya umeme think out of the box! Imagine potentials za watu milioni 4 kuwa connected na gas kwa matumizi ya nyumbani, magari, viwanda vya mbolea na mahospitali...au imagine gasi hiyo iuzwe Kenya? kipi bora? Isafirishwe kwa tankers as LNG au pipeline? haya ni mambo ya economics kaka hayahitaji ati kiwe hapa kwa vile kimetoka hapa! Kila mtu anajua mikoa wenye more spending capacity Tanzania ni ipi kama tunataka projects zetu ziwe sustainable tuweke siasa pembeni! Mtwara kunahitajika refinery na bandari ya kusafirisha hiyo gesi nje maana hata huo umeme waliozalishiwa na Songas hawajaweza kuumudu so far mradi umekula hasara!Hata mimi sijaridhika na kuleta gesi dar na tanga.
1. Kama alivyosema FJM, dar ni sehemu ndogo sana pale ubungo imekuwa kama kuna bom limetegwa maana mpaka panatisha na population ya watu maeneo yale ni kubwa sana. Bado matenki ya mafuta pale kuraaini. Bado majenerata huko tegeta, bado bomba la songasi na bomba tena lingine linakuja. Ni uchafu ni uchafu ni uchafu poor planing.
2. Gesi hiyo kwa asilimia 90 inatumika kuzalisha umeme sasa kwanini tusisafirishe umeme? Kwanini hii isiwe fursa ya kujenga grid ya taifa huko kusini pia?