Hapo ndio utaamini kwamba Mungu yupo na hakuna ashindwalo.
Kama siku yako haijafika hata usimame katikati ya reli, utashangaa treni inaacha njia pasipo kutarajia na kupinduka yenyewe.
Na asirudie tena kufanya upuuzi huo akirudi uraiani, kwa sababu sasa hivi jela kuna muhusu kwa kosa la kujaribu kujiua.