chilambo chavanuvanahe
Member
- Jul 12, 2017
- 10
- 12
Wapi ni komesha kati ya kote huko?.Kwa mama kifusi au mama ndumbi hata kwa mpemba sio mbaya
Dah hiv mama kifusi na mama ndumbi bado wapo?Kwa mama kifusi au mama ndumbi hata kwa mpemba sio mbaya
Mama Ndumbii anapiga chinjo xanaWapi ni komesha kati ya kote huko?.
Wanauza menu gani huko mkuu?.
Aaahaaa!Hahahaa mami kifusii wali wa buku jero mbwa haruki
Buku tu maharage na chineseHahahaa mami kifusii wali wa buku jero mbwa haruki
Yeah au kama unataka quality na hela unazo pale mabibo nje kuna mgahawa unaitwa "kfc"Aaahaaa!
Aissee nipo interested na mama zinduna huyo mkuu,yupo ndani ya hostel?.Kwa mama kifusi, mama ndumbi wote hao cha mtoto. Kuna mama anaitwa mama Zinduna aseee uyo ndo kiboko.
Kipimo cha chini hichoBuku tu maharage na chinese
Sio wote wengine tunabiashara paleFirst Year wa Undergraduate hua wanataka Sifa sana. Wanajiona wao ndio wasomi zaidi ya wanao graduate miezi miwili ijayo