Chimba kisima kwa bei nafuu sana

Chimba kisima kwa bei nafuu sana

Kinampanda,singida-vipi kuhusu equipment mobilization?? Maana makampuni mengine huhitaji gharama za kumove machine zao pia.
Gharama za upimaji wa enkujua kama maji yapo?? Sampling n.k.
kampuni yetu haito kuchaji galama za kusafilisha mashine itakua ndani katika uchimbaji
 
Kupima ili kujua kama maji yapo au la inagarimu kiasi gani? Plz weka namba za simu pia
kupima kama maji yapo inategemea na wapi ulipo kama pwani ni utaratibu ufuatao report of ground water survey (kabla yakuchimba kisima ) 185,000 physical and chemical water analysis report (badaa ya kuchimba kisima)185,000
 
Weka hata email basi au namba ya TTCL kama mobile unaona watakusumbua...we need your services sana. Mmeshawahi kuchimba maeneo ya Dodoma?
 
Tatizo co namba yasimu tatizo jf wemgi namba ukiweka watu wanafanya masiala ni pm namba yako nitakupigia

wengine tunatumia simu za mkononi pekee kuku Pm haiwezekani, basi weka Physical Adress maana kuna mmoja kasema ni Buguruni sokoni karibu na Mremis Bar kama unaweza kuelekeza zaid itakuwa bora!
 
wengine tunatumia simu za mkononi pekee kuku Pm haiwezekani, basi weka Physical Adress maana kuna mmoja kasema ni Buguruni sokoni karibu na Mremis Bar kama unaweza kuelekeza zaid itakuwa bora!

0712690760 namba ya simu ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom