Chimba kisima kwa bei nafuu sana

Chimba kisima kwa bei nafuu sana

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
862
Reaction score
398
BAHEDELE DRILLING CO.
dealers in drilling borehole, submersible electric
pump and service
Buguruni sokoni
Dar es salaam Tanzania
Kawamaitaji yakuchimba kisima
utaratibu nkama ufuatavyo na samanini kwa usumbufu
mwambao wa pwani yani ambako hakuna miaba kwa kila mita elf 65,000
na kwa upande wa miamba kwa mita ni laki 250,000 kwamita kwakua uchimbaji wake nitofauti na unaitaji vifaha tofauti na upande wa pwani KARIBUNI SANA ukiwa unaitaji ni pm tafathali
NAMBA YA SIMU 0712690760 nimaswala yavisima tafazari
 
Unaweza kupima na kujua maji yako umbali gani??je kama maji yanafaa kwa matumizi ya nyumbani unaweza kujua kabla hujachimba????vp maeneo ya Goba mnachimba????
 
popote panachimbwa nakuhusu vipimo kama maji yanafaha kutumiwa na binadamu nivitu ambavyo nimuimu sana huwezi kumpa mtuu maji ayatumie bila kulisibitisha kua yanafaha kwa matumizi yabinadamu ndugu kwani kampuni itanyanganywa leseni ndugu
 
Kiwangwa bagamoyoo utachimba kwa bei hiyo hiyo?
 
Kupima ili kujua kama maji yapo au la inagarimu kiasi gani? Plz weka namba za simu pia
 
Kinampanda,singida-vipi kuhusu equipment mobilization?? Maana makampuni mengine huhitaji gharama za kumove machine zao pia.
Gharama za upimaji wa enkujua kama maji yapo?? Sampling n.k.
 
Hiyo gharama ya 50,000/- kwa nita naamini inajumuisha gharama zifuatazo hapa chini.

1- laboratory tests
2- per diem for staff
3- mobilisation for preliminary survey of the site
4- mobilisation for actual work
5- certification for the source of water as per ministry requirements
7- local taxes v.a.t
8- profit margin not less than 20%
9- renumeration
10- anyother reimbursable and miscellaneous expenses

kinyume cha hapo inabidi uje na mchanganuo wa jinsi gani umepata hiyo rate ya tshs 50,000 per running meter.

ni hayo tuu.
 
shinyanga mnafika? mna uwezo wa kuchimba kisima chenye mita 100!gharama ya kisima chenye urefu huo hadi kikamilike ina range kiasi gani?
 
BAHEDELE DRILLING CO.
dealers in drilling borehole, submersible electric
pump and service
Buguruni sokoni
Dar es salaam Tanzania
Kawamaitaji yakuchimba kisima kwa mita kinachimbwa elf 50 kalibuni sana
Namba za simu ni muhimu sana katika bishara kama hii, kwanini huweki namba za simu?
 
Hao jamaa nawajua,wapo pale Buguruni sokoni karibu na Mremis bar. Ni wazoefu wa visima wa siku nyingi Lakini aliyeweka hii thread sijajua kama ndie mkurugenzi au kibarua wake flani. Hajafanya marketing nzuri kwani hajafunguka kufafanua vitu vingi kama walivyouliza wadau hapo juu.
 
BAHEDELE DRILLING CO.
dealers in drilling borehole, submersible electric
pump and service
Buguruni sokoni
Dar es salaam Tanzania
Kawamaitaji yakuchimba kisima kwa mita kinachimbwa elf 50 kalibuni sana

Hawa jamaa nawafaham....walishanichhimbia kisima nyumban kwangu.....kwakwel wako vizur sana na ni waaminifu sana. Hongeren kwa kazi nzuri
 
Hao jamaa nawajua,wapo pale Buguruni sokoni karibu na Mremis bar. Ni wazoefu wa visima wa siku nyingi Lakini aliyeweka hii thread sijajua kama ndie mkurugenzi au kibarua wake flani. Hajafanya marketing nzuri kwani hajafunguka kufafanua vitu vingi kama walivyouliza wadau hapo juu.

Nikwel alie eka mada hajakamilisha maelezo.....yaan maelezo hayajakidhi kiwango cha tangazo ila ni watu wazuri sana.....mm kama mm walishanichimbia kisima kwangu,na ni waaminifu
 
BAHEDELE DRILLING CO.
dealers in drilling borehole, submersible electric
pump and service
Buguruni sokoni
Dar es salaam Tanzania
Kawamaitaji yakuchimba kisima kwa mita kinachimbwa elf 50 kalibuni sana

Hebu weka namba za simu Bwana, unaficha halafu eti unatafuta biashara?

Tiba
 
Hao jamaa nawajua,wapo pale Buguruni sokoni karibu na Mremis bar. Ni wazoefu wa visima wa siku nyingi Lakini aliyeweka hii thread sijajua kama ndie mkurugenzi au kibarua wake flani. Hajafanya marketing nzuri kwani hajafunguka kufafanua vitu vingi kama walivyouliza wadau hapo juu.
Sawa hata kama kibarua ndiyo anashindwa kuweka namba ya simu. Kwani kila mtu anaweza kufika Buguruni?
 
shinyanga mnafika? mna uwezo wa kuchimba kisima chenye mita 100!gharama ya kisima chenye urefu huo hadi kikamilike ina range kiasi gani?
shinyanga tunachimbaa nipiem namba yako tuweze kufanya kazi mkuu
 
Hiyo gharama ya 50,000/- kwa nita naamini inajumuisha gharama zifuatazo hapa chini.

1- laboratory tests
2- per diem for staff
3- mobilisation for preliminary survey of the site
4- mobilisation for actual work
5- certification for the source of water as per ministry requirements
7- local taxes v.a.t
8- profit margin not less than 20%
9- renumeration
10- anyother reimbursable and miscellaneous expenses

kinyume cha hapo inabidi uje na mchanganuo wa jinsi gani umepata hiyo rate ya tshs 50,000 per running meter.

ni hayo tuu.

Ndugu kuna bazi yawatu wanafanya hivi mtu wasavey wanatafuta wanao mtaka ila kapuni yetu ukitaka ikufanyie inafanya utaratibu nikama ufuatao Report of ground water survey (YANI KABLA YAKUCHIMBA KISIMA) inakua 185,000 na physical and chemical water analysis report (BAADA YAKUCHIMBA KISIMA)185,000 Hii ni kwasehemu zapwani ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom