Warning:
The videos in this thread are extremely graphic for vviewers.
Black South Africans are killing black africans from Africa in streets and the African head of states are silent to condemn and take action against this barbaric altitude. They are obviously waiting for the Western world to say something about it. Simply stunning.
Ni sawa sawa na kuua mwizi wa kuku kwa mawe na fimbo,wakati fisadi wa masaki,yupo salama!
Siku zote unatafuta mnyonge wako wa karibu umalizie hasira zako,
Wewe unafikiri hapa bongo,wale deiwaka wanaoua vibaka,wanaweza kwenda coco beach kupiga mawe nyumba za mafisadi! Thubutu yake,watachapwa risasi kama kuku.
Hata black Americans,hasira zao huwamalizia wenzao weusi,hawawezi kwenda kwenye mitaa ya weupe,watatunguliwa kama ngedere.
Hata hao wasausi,sio kwamba wanawachukia weusi wageni,shida yao ni uchumi,na MTU wa karibu anaye chukua ajira zao,ni huyo mgeni,lakini anayesababisha uchumi uwe hivyo,ni wazungu,
Hawawezi kwenda kuwapiga wazungu,ni vigumu kuwafikia,sasa bora wawamalizie hasira hao weusi.
Nothing personal ni swala LA uchumi tu
Sent using
Jamii Forums mobile app