Children’s right to participate

Children’s right to participate

OwadeKuya

Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
97
Reaction score
78
The Constitution recognises children’s rights — but in real life, watoto are told “kaa kimya, wewe ni mtoto.”
Should children have a say in matters affecting their lives at home, school, and community?
At what point does guidance turn into silencing?
Share your view.
 
Hakuna haki ya kutoa maoni kwa mtoto mbele ya wakubwa. Mtoto ni mtu wa kuongozwa, kuelekezwa na kujibu maswali anayoulizwa tuu. Maoni akatoe mbele ya watoto wenzie, kwenye himaya yangu ni ndio mzee formula. Hatutaki kisasi kisicho na adabu sisi ala
 
Hivi mtoto kutoa maoni yake ni kutokuwq na adabu
 
Back
Top Bottom