Child / Kids mode kwenye simu.

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,922
Reaction score
4,180
Nawasalimu wanajukwaa.
Simu aina ya Vivo imeingia kwenye Child Mode, nikijaribu kuitoa inataka niweke screen lock password wakati sijawahi kulock kwa password na wala sina hiyo password.

Nikienda "Forgot Password" inaleta niweke nitoe jibu la security question wakati sijawahi kuset hiyo question.

Naomba msaada namna ya kutatua hili wakuu. Simu imekuwa kama kopo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…