Chifu Mkwawa Plz Chungulia Hapa;

Chifu Mkwawa Plz Chungulia Hapa;

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,316
Reaction score
840
Kwanza natangulza shukran za dhati Chief Mkwawa kwa moyo wake wakujitoa kusaidia wanaAnalojia ktk forum hii,,, Mungu amzdishie baraka tele na aendelee na moyo huo na Wengne tuache uchoyo nakuigga moyo huo,;; Sasa nakuja

NINA GALAXY ACE2 TANGU NIINUNUE ILIKUWA NZITO SN KULOAD UNAPOFUNGUA PROG FULAN LAZMA UCKILIZIE HATA SEKUNDE 10 MPK 20 NIKAUPGRADE ANDROID TO JELLY BEAN BT TATZO BADO VLEVLE TOFAUTI KABSA NA TECNO N3 NILYOKUA NAYO B4 AMBAYO LICHA YAKUWA NA JINGERBREAD BT ILIKUA FASTER MBAYA KUFUNGUA NA KUFUNGA PROGRAM, ,, MSAADA WAJAMENI
 
Hebu jaribu kuodoa whatsap uone nayo wakati mwingine huwa hivyo au toa memory card ujaribu kuona tofauti.
 
kaka next time usiandike jina kwenye thread wapo wataalam wengi tu.

android kuwa nzito kufungua vitu hilo tatizo linatokana na application zimekua nyingi na umeitumia simu mda mrefu. android ni platform ya ajabu kwani hadi application za camera muda wote zipo on hivyo hufanya ram izidiwe na simu kuwa slow

solution

1. piga moyo konde reset simu uanze upya
njia hii nakuhakikishia itafanya simu iwe faster tena, utaenda menu halafu seting halafu backup and reset halafu factory data reset
utapoteza vitu vyote kama picha, miziki, apps na video.

picha miziki na video unaweza vihamishia sehemu nyengine ila apps ni bora zipotee zote uanze upya.

na ukianza upya download app muhimu tu usijaze application nyingi kwenye simu itakua slow tena. kama hutaki kureset fata njia ya pili ambayo itasaidia kiasi fulani ila haitasolve tatizo.

2. kuclose open application
hapa utaenda menu halafu setting halafu application manager halafu swipe kwenye running application close app zote zisizo maana. pia delete na apps ambazo hutumii.

kama njia ni ndefu unaweza download appa za task manager ili kuclose open application kirahisi.

3. kuacha kutumia touchwiz na kudownload launcher nyengine.

umesema tecno ipo faster na ace yako ipo slow tofaut ya ace na tecno ni touchwiz ambayo hii ni skin imewekwa juu ya android na samsung wenyewe.

nenda store kasearch kitu kinaitwa nova launcher hii ni nyepesi itaireplace touchwiz na kuifanya simu iongezeke speed.

jaribu hayo kwanza
 
Mkuu nashukuru sn ila ucnambie nickuname coz wengne humu umimi mwingi sn,, Moyo wakujitolea na kusaidia wamejaliwa wachache sn duniani hum,, hii thread ilikuwepo toka majuzi nkaona kmya nkajua2 hujaiona dats y nkakuacknowledge,, wengne wameipita2,, get blcd ma bro,,,thnx vry much acha nijaribu tene
 
muda mwingi nikiingia humu napenda sana kukusoma kaka....unatisha kiukweli uko juu huwa nakuelewa kuliko kugoogle, nahv wengine st kayumba mpaka tuwe na makamusi tabu...ningekuwa nauwezo ningekushauri uanzishe kablog na centre yakufundisha maujanja....maana bnafs nakusoma kitambo naona unaweza sana haya, kutoka symbian mpaka windows,android n.k Mungu akupe nguvu na afya ili uendelee kutupa maujanja panapowezekana,usisite kutufunua macho watu kama sie....
 
Mkuu nashukuru sn ila ucnambie nickuname coz wengne humu umimi mwingi sn,, Moyo wakujitolea na kusaidia wamejaliwa wachache sn duniani hum,, hii thread ilikuwepo toka majuzi nkaona kmya nkajua2 hujaiona dats y nkakuacknowledge,, wengne wameipita2,, get blcd ma bro,,,thnx vry much acha nijaribu tene

Mkuu, chief-mkwawa anachomaanisha hapa ni kuwa unapofungua thread na kuandika jina lake maana yake unazuia members wengine kuja kutoa msaada. Kama unahitaji msaada kutoka kwa chief-mkwawa pekee basi ni bora umtumie PM na kumalizana huko privately. Imagine kama chief-mkwawa asingekuwa online au kama asingeiona thread yako unadhani kuna mtu angejitokeza kukusaidia?
 
Last edited by a moderator:
Baba chief upo vizuri nakufananisha na kijana wangu kipind nikiea technical institute 1 dsm alinisaidia sana. Bt chief kuna hiii ishu ya window phone zinashindwa kufungua menu za m pesa na tigo pesa tatizo ninin? Samahani kwa kuingilia topic
 
hizo hazina dawa ni simu zote za windows phone 7.x inabidi uuze ununue nyengine, kama still unapenda windows phone tafuta simu za windows phone 8 ndo zina kila kitu
 
Chief hua hata saa 8 za ucku yuko Call JF kwa misaada ya ce wana Analojia,,after all hii thread ilibidi nimtaje kwa uhakika wa msaada kk baada yakuona nimepost kawaida bila ya msaada for 4dys nw,,,mwache banah Chief aitwe Chief,,,hamnibadili kwa hilo,,najua kashanhelp 2what xtent,,, Get bLcd buroo Chifu,,,, hapa nshaanza kuona matunda ya alichonielekeza nw,,,
 
Usitumie lugha ya mikato kama upo FB,lugha hizo ziache FB,hii ni JF
 
Chief naye wakati mwingine miyeyusho tu pamoja kwamba namkubali, nilimuuliza katika thread moja kuwa naweza kuroot htc disire hd bila komputa? Kimyaaaaaaa. Labda sahii anaweza kunioba.
 
either hajaiona iyo request yako au hana jibu la harakaharaka maan si lazima kila kitu akijue hakuna binadam wa ivyo jenga tabia ya kuapreciate kwa mtu mwenye special knowledge napia ujenge tabia ya kutafuta solution sehem mbalimbali pia!!!
 
kaka next time usiandike jina kwenye thread wapo wataalam wengi tu.

android kuwa nzito kufungua vitu hilo tatizo linatokana na application zimekua nyingi na umeitumia simu mda mrefu. android ni platform ya ajabu kwani hadi application za camera muda wote zipo on hivyo hufanya ram izidiwe na simu kuwa slow

solution

1. piga moyo konde reset simu uanze upya
njia hii nakuhakikishia itafanya simu iwe faster tena, utaenda menu halafu seting halafu backup and reset halafu factory data reset
utapoteza vitu vyote kama picha, miziki, apps na video.

picha miziki na video unaweza vihamishia sehemu nyengine ila apps ni bora zipotee zote uanze upya.

na ukianza upya download app muhimu tu usijaze application nyingi kwenye simu itakua slow tena. kama hutaki kureset fata njia ya pili ambayo itasaidia kiasi fulani ila haitasolve tatizo.

2. kuclose open application
hapa utaenda menu halafu setting halafu application manager halafu swipe kwenye running application close app zote zisizo maana. pia delete na apps ambazo hutumii.

kama njia ni ndefu unaweza download appa za task manager ili kuclose open application kirahisi.

3. kuacha kutumia touchwiz na kudownload launcher nyengine.

umesema tecno ipo faster na ace yako ipo slow tofaut ya ace na tecno ni touchwiz ambayo hii ni skin imewekwa juu ya android na samsung wenyewe.

nenda store kasearch kitu kinaitwa nova launcher hii ni nyepesi itaireplace touchwiz na kuifanya simu iongezeke speed.

jaribu hayo kwanza
Ila lazima ukubali kuwa jukwaa hili we ni excelence!wadau tunajihis poa the way unavyo solve mambo yetu!Techie-Chief-,miziziology-mzizimkavu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom