K kotelyimola JF-Expert Member Joined Oct 9, 2015 Posts 1,459 Reaction score 1,509 Mar 23, 2016 #121 warumi said: bunju si kwa mama yake? jamani rehema nyie huyu, si bora angeomba collabo na jide waamke tena looh! nikikumbuka enzi zake machozi yananitoka aiseh Click to expand... Kama unamtaka yupo karibu na Changamoto ni Matumaini (ile kambi ambayo inasaidia watu ambao ni addicted) karibu na dodo dogo (kumbuka haisaidii addiction kama yako warumi maana wao ni wazungu waliookoka
warumi said: bunju si kwa mama yake? jamani rehema nyie huyu, si bora angeomba collabo na jide waamke tena looh! nikikumbuka enzi zake machozi yananitoka aiseh Click to expand... Kama unamtaka yupo karibu na Changamoto ni Matumaini (ile kambi ambayo inasaidia watu ambao ni addicted) karibu na dodo dogo (kumbuka haisaidii addiction kama yako warumi maana wao ni wazungu waliookoka
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Mar 24, 2016 #122 warumi said: ahhaha unankumbusha mbali binamu, hivi rehema bado yupo au kahama?? Click to expand... Haaa Rehema alihama binamu..., siku hizi kachoka hata selfie zinagoma 🙂
warumi said: ahhaha unankumbusha mbali binamu, hivi rehema bado yupo au kahama?? Click to expand... Haaa Rehema alihama binamu..., siku hizi kachoka hata selfie zinagoma 🙂
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,213 Reaction score 18,455 Mar 25, 2016 Thread starter #123 Heaven on Earth said: Haaa Rehema alihama binamu..., siku hizi kachoka hata selfie zinagoma 🙂 Click to expand... ahahah!! dah, angeomba collabo na jide waamke wote aiseh maana ray c kalala ten usingizi mzito
Heaven on Earth said: Haaa Rehema alihama binamu..., siku hizi kachoka hata selfie zinagoma 🙂 Click to expand... ahahah!! dah, angeomba collabo na jide waamke wote aiseh maana ray c kalala ten usingizi mzito
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,932 Jan 18, 2017 #124 Tujikumbushe kidogo
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,632 Reaction score 6,497 Feb 22, 2022 #125 Habari ya uongo!
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,182 Feb 22, 2022 #126 Bavaria said: Huyo chidi hajawahi kupigwa Click to expand... Alibondwa na Jamaa mmoja mwili jumba wa kikosi cha mizinga naona alivamia shoo ya wagumu hao wa Hip hop,hawakumwonea huruma.
Bavaria said: Huyo chidi hajawahi kupigwa Click to expand... Alibondwa na Jamaa mmoja mwili jumba wa kikosi cha mizinga naona alivamia shoo ya wagumu hao wa Hip hop,hawakumwonea huruma.
Ibilisi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 3,465 Reaction score 5,586 Feb 23, 2022 #127 Matola said: ugomvi wa mateja huo msuluhishi pusher. Click to expand...