hahaha Chidi ni mchokozi kilichomtoa kwake usiku kuja kufanya fujo ni nini na kushusha kile kipondo heavy weight.... katoka Ilala hadi Changanyikeni. ...
Jaman si mtoto chanzp binamu au nini tena? Mmh nasubir tu unipe vioja maana jiran kama nakuona ulivyokesha ukutaka kupitwa ata, yani ungeniita binamu mbona ray c angerud kenya

Kesi yao tata kweli wote MATEJA mbona patamu, apa nimewasikiliza Ugomvi wao nilivyoona na huyo mariam nae ni addicted na madawa nikasema bas tena hii kesi wanajuana wenyew hawa, hakuna wa kumtetea apa.