chezeya wa mama wa kikenya

Hawa ni wababe kuna kipindi wanaume wa Kenya waliandamana kupinga kunyanyaswa na wake zao
 
Chuma gani hicho, makaratasi hayo. Chuma anabeba na vidole?

Liputo hilo aende zake huko, akawatishe huko huko!
 
naona matomaso at work,sijui lini mtakuja amini,aya ngoja niwafuraishe ni karatasi hio mmefurahi sasa?
 
Anapigia chuma sitting room kwenye sofa, yeye mkare
 
dhuuuuu hapa kazi ipo, kama ni nyumbani akikohoa tu mtu ushaitika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…