Nimecheka sana...niliwahi kuongea na aliyekuwa mtumiaji wa madawa, akanisimulia mambo ya ajabu....akaniambia kuwa upo wakati alikuwa anajiona yuko pamoja na Bill Clinton, Rais wa Marekani wakati ule wakiwa na mazungumzo ya faragha wakipanga namna nzuri ya kuongoza dunia...Kijana mwenyewe anayepanga mipango na Clinton ni taxi driver....