CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Yampiga Rayon sport kwao bao 2:0.
Wafungaji.
Hamisi Kiiza aka Diego!
Saimoni Msuva aka Neymar!
Wafungaji.
Hamisi Kiiza aka Diego!
Saimoni Msuva aka Neymar!
Yampiga Rayon sport kwao bao 2:0.
Wangungaji.
Hamisi Kiiza aka Diego!
Saimoni Msuva aka Neymar!
Ok mkuu nimerekebisha!kwa hapo kwenye RED umedhihirisha kweli kwamba wewe Yanga DAMUau umpagawa na ushindi??
Asante yanga, asante mwenyekiti manji,..
uko juu mkuu, ada ya mja hunena uungwana ni vitendo, yamkini uko Yanga kitwite twite........