CHEZEA WA2 NA KAZI ZAO...!
Mzungu kaunda NDEGE
Mchawi kaunda UNGO
Mzungu kaunda ATM
Mchawi katengeneza CHUMA ULETE
Mzungu kagundua ROBOTI ili imsaidie kazi
mchawi kagundua MSUKULE.
je, nan zaidi.?
Lilltejohn umeongea point kaka ni wivu tuu tena wa maendeleo bora wataman wawe kama fulan bali they are ready kukupola ulichonacho duu mzungu atabakia kuwa juu yye anasimplify maisha tuu kiroho safi hana wivu