Chezea pesa wewe...!

Chezea pesa wewe...!

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Yafuatayo yalikuwa ni mazungumzo ya simu kati ya kijana na mpezi wake wa kike:

BINTI:Hallow Honey bosi ananitongoza anasema yupo tayari kunipa dola 10000 anadai atazidondosha chini yaani kitendo cha mimi kuinama na kuziokota yeye atakuwa tayari ameshaninahii..unanishauri nini dia?

KIJANA:Baby hilo ni dili we mwambie akupe dola 20000 akizidondosha tu hakikisha unaziokota haraka kabla hajavua hata suruali alafu ukisha zikota nijulishe sawa dia?

BINTI;Nipe dakika tano dia nakwenda kuzichukua sasa hivi nakupigia tena.

Kijana baada ya kusubiri kwa nusu saa bila kupata simu toka kwa mpenzi wake akaamua kumpigigia ikawa hivi:-

KIJANA;Halow dia vip mbona kimya nasubiria jibu umeshachukua hiyo hela?

BINTI;Huku akihema kwa tabu.."yaani dia hili libosi ni kauzu kweli limeangusha visarafu tupu mpk sasa bado naokota nalo linaendea kunishughulikia sijui nifanyeje?

MARA SIMU IKAKATIKA KUMBE KIJANA WA WATU KAZIMIA ...CHEZEA PESA WEWE
 
hahhahha hhaha pesa noma jamani watu wanaitafuta kwa shida sana

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Pesa ndo kila kitu we uliye 2

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hahaha pesa sabuni ya roho

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom