Cobra karukaruka na ukali wake mwisho jamaa kamunasa kiulaini, huyu nguchilo ni jasiri sana maana kataka kumkamata mara ya kwanza kaona noma akaenda zake kwenye dimbwi akabahatishe walau samaki, kuona kakosa samaki na njaa inamuuma kaona aurudie msosi wake (cobra)