Chezea muosha magari wewe

Huyo nae mwendo kasi kweli...yani kamaliza chuo kikuu na Jinsi alivyoandika? Na yeye ni tapeli tu
 
Hii ni shida!! Mbuzi kafia kwa muuza supu
Embe dodo chini ya mpapai
Dada zangu mwanaume anavyokuja kwako tumia muda kufanya uchunguzi siyo mnatazama tu vitu tu bila kujua amevipata vp.
Maji ushayavulia nguo shart uyanywe ata kama ni baridi endelea tu mama na ndoa yako
 
Mtengeneze awe dalali kweli wa magari au aje kununua gari.

Wasichana wakiona gari sijui wanakuwaje.
 
pole sana ndo umeingizwa mjini peupeeee
 

WEKA PICHA NA SAMARI YA HII INSHA!

 
Mweeh... Bidada analea mwenyewe sasa?
 
Aaah hii ni porojo yani mtu amalize chuo kikuu halafu anaandika

What do I do?? Asee hiyo itakuwa choo na siyo chuo
 
Hii thread ishawahi kuletwa humu,sijui kwann umerudia
 
Ndio tatizo LA madada wa mjini una penda gari au magari badala ya kuangalia MTU mwenyewe sasa acha apende hayo magari sasa koz hmna mapenzi ya dhati MTU ana angalia mkwanja tu acha ale jeuri yake koz ndege mjanja hunaswa kweny tundu bovu hapo bado mimba tu
 

Khaa, kwani wewe umeolewa na kazi yake au umeolewa na mtu. Sikulijua hili kwamba kuna wanawake huolewa na kazi za waume zao!
 
Hahahaa mmoja alipenda kweli ikabidi atembelee gari za watu
Mwingine ni mpenda maisha mazuri tu na penzi la kweli alikua hana
Sasa hakuna namna ni kuishi tu na kuzalishwa maisha yaendelee ye na kazi yake na we ukatafute ajira serikalini huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…