Chezea kinyozi wewe

Mi sishangai kwa sababu kijijini kwetu zinatumika sana hizi stairi
 
Mmmhhh sijawahi ona...
No...ndiyo nimeona leo kwa picha.
 
hcho ndo kipara kinavyofaa kunyolewa...........

hamna ushahidi wa nywele hpo........... wpo juu .......
 
mnashangaa nn enzi za mwalimu maisha ndio yalikuwa hivyo kiwembe bei mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…