chezea kimombo wewe

chezea kimombo wewe

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
Chezea kizungu...Mama mmoja wa kijita alienda hotel ya watalii, kwa mara ya kwanza. Kwa pozi akaketi meza 1 na wazungu watatu. Mhudumu akaja kuwauliza wanatumia nn? Mzungu wa kwanza akasema "JOHN WALKER SINGLE" Wa pili "CAPTAIN MORGAN SINGLE" wa tatu "JACKIE DANIEL SINGLE". Mama wa kijita akadhani wametaja majina yao na marital status zao, yule mhudumu kumgeukia tu hata kabla hajamuuliza, mama akasema kwa pozi "Nyasatu Masatu Mafuru MARRIED"..Mhudumu akaangua kicheko mpaka akalia..CHEZEA Mjita Weyeeeee?!,!!!
 
Hahahha lugha ya watu hiyo

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom