Hiyo kitu aliyoibeba huwa naipenda sana...inaitwa RPG (Rocket Propelled Grenade)Nimempenda huyo mwenye chupi na socks nyekundu. Sasa hilo gagulo la bibi harusi lafanya nini kwenye vita?
Mbuzi Mzee umenikumbusha mbali sana,,,,salute!!
Mwanamke kama huyu unaanzaje kumtongoza? Hebu wataalam fungukeni!
Nimempenda huyo mwenye chupi na socks nyekundu. Sasa hilo gagulo la bibi harusi lafanya nini kwenye vita?
Usista du hapo hapo maana curl zimekubali juu, mama mlezi at the same time......mwanajeshi hapo hapo. lol only in Africa.
Mwanamke kama huyu unaanzaje kumtongoza? Hebu wataalam fungukeni!
Hawa wakienda Bongo, wanachukua Nchi Kiraiiiisi
Hio ndio people power inayosemwagwa.hiyo ndo original yake acha ile fake ya kule rchuga.
WADADA MPO TAYARI KWA SEKESEKE LA HIVYO