Cheti Original kilipotea nifanyeje ili nipokelewe chuoni huku nikiendelea na taratibu?

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
132
264
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nilipoteza cheti cha form IV na kiutaratibu inabidi niende necta na nikipiga mahesabu ni pesa ndefu kidogo ambayo sijajipanga kwa sasa,naombeni ushauri ili niweze kupokelelea chuo nilichochaguliwa.

Katika admission letter inaelezwa copy haitakiwi japo kuna mtu alinambia nicertify copy kwa mwanasheria,naomba mwenye uelewa juu ya haya maswala anipe ushauri ili nijue nafanyaje....

Ahsante
 
Nenda police kawaeleze wakipe loss report kisha wapelekee iyo riport chuon watangalia mtandaoni kisha utapokelewa

Swali umepotezaje
 
Back
Top Bottom