Cheti cha University kimeokotwa

Huyu atakuwa ntu wa ntwara bilashaka
 
Hivi ukipata Lower second huwezi kuzawadiwa Honours?Honours ni kwa first class na upper second tu?Mwenye ufahamu atujuze
 
Honours INA maanisha kumaintain GPA
 
With Honours lakini Second class, lower division!

Does it make sense?
Tujue kwanza honours katika grading ya vyeti ina maana gani, then we will be in a position to make sensible conclusion
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…