Duh Second lower halafu imeandikwa honours, kweli mlimani kwenye masomo ya bishara wamechoka kinoma.Cheti kimeokotwa hiki pamoja na cheti cha form four na six vyote original.Tafadhali sambazeni kwenye groups nyingine.Piga simu 0784292758
View attachment 474934
siku hizi mambo yamebadilika. zamani ilikuwa kama hukuwahi kupata supplementary, cheti kinaandikwa "with honours" Lakini nowadays, Elimu imekuwa simplified some how..nimeshaona vijana kadhaa wana "Pass(GPA-2.6) na vyeti vimeandikwa with honours...The term, with honour...is no longer big deal!Moja ya sababu niijuayo ni graph ya matokeo yako ya mwisho wa semester iwe inapanda
siku izi =Siku hiziushakuwa faizafox sikuizi
Kweli kabisa, kwa mfano mtu anaitwa Asha Juma ila akiingia fb anajisajili na Cutelious Delicious Cindy Baby....utampataje?Wengine hawatumii majina yao mkuu.....wanatumia ya mjini
Furaha anajiita HappyliciousKweli kabisa, kwa mfano mtu anaitwa Asha Juma ila akiingia fb anajisajili na Cutelious Delicious Cindy Baby....utampataje?
Ha ha ha ha wewe mgovi, hatutakiwi kuwanenea maneno ya aina yoyote watumishi wa Mungu kama Paulo ...Furaha anajiita Happylicious
Bashite anajiita Pol
Furaha anajiita Happylicious
Bashite anajiita Pol
nikisimama mimi ni sawa kasimama Mungu unadhani niletwa kwa bahati mbaya, by DABHa ha ha ha wewe mgovi, hatutakiwi kuwanenea maneno ya aina yoyote watumishi wa Mungu kama Paulo ...
Kwa Ufahamu wangu, With Honors ina maana kuwa Hajawahi kushuka GPA tangu anaanza semester ya kwanza mpaka anamaliza. Yaani kama alianza na GPA ya 2.5 maana yake itafata GPA ya 2.7, 2.9, 3.0, 3.2, 3.3 na kuendelea. Hiyo ndo mtu anatunukiwa Cheti kilichoandikwa with Honors.nieleweshe kuhusu honours naona ana grade kama yangu afu ana honours me sina
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
siku hizi mambo yamebadilika. zamani ilikuwa kama hukuwahi kupata supplementary, cheti kinaandikwa "with honours" Lakini nowadays, Elimu imekuwa simplified some how..nimeshaona vijana kadhaa wana "Pass(GPA-2.6) na vyeti vimeandikwa with honours...The term, with honour...is no longer big deal!
Duh Second lower halafu imeandikwa honours, kweli mlimani kwenye masomo ya bishara wamechoka kinoma.
Mkuu, kiuhalisia honours inatolewa kwenye academic excellency. Hii inamaanisha kwa mwanafunzi aliyefaulu vizuri ikiwemo kutopata supplementary or kupata namba za viatu...! kwa mfano, kama semister ya kwanza alipata GPA ya 3.9 but semister inayofuata akapata GPA ya 3.4 then next akapata 3.8....na mpaka mwisho wa shule akajikuta ana GPA ya 3.7....huyu tutamu-award..."Upper second class with honours"-ilimradi hakuwahi kupata supplementary! sijui kama utaratibu huo bado unaendelea kwani siko tena kwenye learning Institution kwa muda mrefu.....Kwa Ufahamu wangu, With Honors ina maana kuwa Hajawahi kushuka GPA tangu anaanza semester ya kwanza mpaka anamaliza. Yaani kama alianza na GPA ya 2.5 maana yake itafata GPA ya 2.7, 2.9, 3.0, 3.2, 3.3 na kuendelea. Hiyo ndo mtu anatunukiwa Cheti kilichoandikwa with Honors.
it doesn't make any senseWith Honours lakini Second class, lower division!
Does it make sense?