Conditions za kupewa cheti ni hizi hapa:-
1.Uwe na copy ya transcript..
2.Uwe na copy ya kitambulisho[kama huna basi pata barua ya utambulisho toka serikali za mitaa]..
3.Jaza form ya kuomba cheti inayopatikana utawala rum
#108 ..
Ukiweza kumpata mtu ambaye unaweza kumpatia hivyo vitu basi wakati anajaza hiyo form ya kuomba cheti mwambie sehemu ya NAMNA YA KUKIPOKEA CHETI ajaze kuwa kinatumwa kwa Posta..
Hiki ndicho ninachoweza kukusaidia kwa sasa..
Ubarikiwe,mpendwa..