mkuu hiyo sio antivirus kabisa,niliiweka nikaipa latest update kuiscan PC inaona moja ya virus ni Avast kuwafuta na yenyewe ikacrash kuitoa OS nayo ikafa! Kazi ni makelele tu huku OS bado inaliwa!!Niko na linux sasa nshaachana na matatizo hayo! Hamia Linux bana