Its exciting game with Torres both a hero or villain anyhow... na amesema hajawahi kuipenda Liverpool, while aliwahi kusema Liverpool was his boyhood club and did a Tattoo when he was a teenager
And he expects to win at Chelsea! Yaani ni sawa na kuhama CDM uende CCM! Hakusoma alama za nyakati! Waiiii!! Liverpool walijua this was the only time to do business! Wala hawajachezesha the new signings....and the win came!
Hahahahahahaha Poleni sana Mkuu nilijua utasepa tu kama kawaida yako/yenu LOL!...hamkustahili kupoteza mamilioni yenu kwa yule Garasa...bado mnasafari ndefu sana katika kutetea ubingwa wenu wa EPL...lakini usisahau kuvunjika koleo siyo mwisho wa ..........