ni aina ya butterfly bado mpya kabisa ipo Morogoro imetumika kwa muda wa mwezi mmoja,haina tatizo lolote bei ni shilingi 160000
kula 120 fasta
Samahani mkuu..cherehani ni nini?
hii ni machine gani wazee...mbona wabinafsiupo chini xna mkuu ongeza kidogo machine ni nzur na utafurahia
ok, ndio zile ndogondogo? But hajasema kama ni za umeme au manualnot a sewing machine?
hii ni machine gani wazee...mbona wabinafsi
ok, ndio zile ndogondogo? But hajasema kama ni za umeme au manual