Chenge, StarTV na Utaalam wa kisasa


I hear that Chenge went to the parliament at 8:30 a.m and not 8:30p.m. to look for his sit when the session begins. Please be reminded that, every MP has his own sit the House.

Personally, I do not think that Chenge would do a thing like that, especially in the company of a Bunge official. This man is a highly learned personality despite all that is said about him. He is a laywer by proffession and a great thinker apart from being a grown up person. It would be extremely stupid for a person like him to do so in a broad daylight. Politics is really dirty at times.

I believe there something really wrong in the House and is probably linked to political inclinations. God Bless our Parliament, God Bless Tanzania and her people. We need to pray.
 

I agree with you entirely! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chenge may be "mfisadi" but the voodoo allegations have been blown out of proportion. he has not been in talking terms with the Speaker which adds to the possibility that Sitta (revengeful as he is) is trying to tarnish the former AG, who was a senior officer when Sitta was a Minister for Justice. I was told by an insider that Chenge was the reason for Sitta moving out of the ministry. Moreover, when Sitta thought he was to be picked as the AG, Chenge was picked instead! So ther are a myriad of reasons that tend to sufggest that these voodoo/witchcraft allegations are fallacious!
 
we would have believed that he was looking for a seat if nothing was thrown about the bunge.
what is the relation between looking for a seat and throwing unga unga to the seats he was passing?
 
we would have believed that he was looking for a seat if nothing was thrown about the bunge.
what is the relation between looking for a seat and throwing unga unga to the seats he was passing?

Mkuu umeona hilo likitendeka! What purpose do you think ilikuwa inaserve kumwaga unga?
 

Please substantiate the above, otherwise, you want us to believe 'hisia zako' za justify your words.
 
unaota kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeee..... peeeeeeeee..
 
Please substantiate the above, otherwise, you want us to believe 'hisia zako' za justify your words.

Boma, there is nothing to justify! You can take my word as hisia tu, and that will not make me swallow my reasoning.
 
sikumuona akirusha huo unga, kaonekanwa na sitta pamoja na camera za ndani ya bunge kwa mujibu wa maneno ya sita.
na unga huo sasa upo polisi unafanyiwa uchunguzi kwa ujibu wa habari kutoka polisi
 
sikumuona akirusha huo unga, kaonekanwa na sitta pamoja na camera za ndani ya bunge kwa mujibu wa maneno ya sita.
na unga huo sasa upo polisi unafanyiwa uchunguzi kwa ujibu wa habari kutoka polisi

Kama kweli ni uchawi watagundua nini! Si wanaweza kuishia kusema ni unga wa mahindi/mtama au uwele! Guys, I think the whole thing is nonsensical! lakini tusubiri tuone mwisho wake.
 
nakubaliana na wewe the whole thing ni upuuzi.......kuanzia mbunge kufanya ushirikina bungeni, mpaka hizo dawa za mitishamba kwenda kuchunguzwa polisi.
lakini kwa vile nchi haiamini juju wacha polisi wachunguze ili conspiracy moja ya kusema ilikuwa ni sumu ipate kwisha.
 

Sidhani kama kuna cha kuchunguza! Ni kupoteza raslimali za nchi na muda wao. Kuna vitu muhimu vya kuchunguza ambavyo vina maslahi kwa nchi na siyo upuuzi wa wanasiasa na watu wenye chuki binafsi kati yao. Unajua kuna mtu mmoja anayeamini katika masuala ya uchawi alianiambia kuwa Bungeni ushirikina upo sana na usione watu wamo mle ndani wakiwa wamevaa suti zao. Baadhi yao wanaingia uchi wa mnyama lakini hatuwezi kuona kwa maana wanatumia nguvu za giza. I told him off. Yaani nguvu za giza zisababishe nguo ionekane hata kwenye picha! That is nonsense. Hii ya Chenge naiona kama mwendelezo wa upuuzi huo huo.
 
Spika apuuza tuhuma za Chenge dhidi yake

Mwananchi
6/23/2008
Muhibu Said


SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, amesema shutuma zilizotolewa na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge dhidi yake hivi karibuni, amewaachia Wabunge kuchukua maamuzi watakayoona yanafaa.

Akizungumza na mwandishi wa Mwananchi jana, Spika Sitta, alisema yeye binafsi hashughulishwi na shutuma hizo na kwamba, ameona kuwa ni busara kuzipuuza.

"Haitatokea maishani mwangu kucheka kama nilivyotuhumiwa na Chenge. Na kama itatokea hivyo, basi sifai kuwa Spika," alisema Sitta alipozungumza na mwandishi kwa njia ya simu.

Kauli hiyo ya Sitta, imetolewa siku chache baada ya Chenge, kukaririwa na baadhi ya vyombo vya habari akidai kwamba, ni hatari kuongozwa na Spika mzushi kama Sitta na kuahidi kumshughulikia katika mamlaka mojawapo kati ya Chama, Bunge au Mahakama.

Chenge alitoa shutuma hizo akidai kwamba, Spika Sitta alimhusisha na mauzauza yaliyotokea bungeni hivi karibuni ambako mtu ambaye hajafahamika anadaiwa kuweka unga unga kwa nia ya kumdhuru mbaya wake.

"Zilivuma taarifa kuwa mtu huyo ni mweupe kwa rangi. Waandishi wakamuuliza ni Lowassa? Akajibu hapana. Wakamuuliza ni Abood, akasema hapana. Wakamuuliza ni Chenge, akacheka eh hee hee. Unadhani wataelewa nini hapo?," Chenge alikaririwa akisema.

Hata hivyo, Spika Sitta, aliwataka wananchi kuwauliza wabunge kama anao uwezo wa kuongoza Bunge au la.

Kuhusu matokeo ya uchunguzi wa unga unga huo, Spika Sitta alisema anaviachia vyombo vya usalama kutangaza mara uchaguzi huo utakapokamilika.
 

Hii kali kweli kweli, Sitta ongeza speed tu. Chenge anataka kukimbia ukweli
 
Kihistoria, Wanyamwezi na Wasukuma si wamoja?
Wanasikilizana na hata vyakula vyao vya kijadi vinafanana!lakini wana utofauti kidogo ndo maana kuna wasukuma na wanyamwezi
Asante
Hollo
 

.........
 

Hizi ni Hadithi za Abunuasi (HHA).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…