Chenge: Mimi ni tumbili

Inasikitisha sana kwa kweli. TZ haijawahi kuwa na rais anayedharaulika kama JK.
 
Chenge amekubuhu sana kwenye michezo ya rushwa kiasi kwamba kwake anaona ni kawaida tu wala hajali kabisa. Kibaya kabisa hana hata nidhamu. Nilimshangaa sana siku ile alipokuwa anashiriki kuboresha maazimio ya bunge wakati na yeye ni mtuhumiwa. Kwa mtu mwenye hekima na busara angekaa kimya kabisa. Hana aibu kabisa yule na ana roho ngumu sana.
 
hapo umenena kabisa mkuu. Dah! natamani nimkate kichwa jambazi chenge.
 
Jamaa kweli tumbili.kama alieuka vihunzi vya rada live mnategemea nini?
 
kumbe tumbili ni jina zuri mi nlidhani werema alimkosea sana kafulila...kumbe alimpa heshima
 
wahuni sana hawa. yaani wanakwapua fedha za umma af wanajifanya wajanja...ngoja tusubiri facts zaidi kutoka kwa vuta nikuvute
 
Huyu jamaa nina uhakika sehemu nyingi za nchi hii akipita kizembe
watu wata ''m..Mabina''..wa TZ wa leo si wa jana.
 
Watu hawa hawana hata chembe ya aibu.... yaani mtu unajitapa kwa kuwa una uwezo wa "kupora" na kuendelea kupeta bila kuwajibishwa!!

Siku serikali ya hiki chama corrupt itatakapoondoka madarakani wenye tabia hizi za fisi watalia na kusaga meno!!
 
Wabunge wetu wakipige kura ya kumkataaa pinda tu na ndo dawa ya huyu mlinda wezi hapa Tz.
 
Hawawezi kamwe kuelewa undani wa dili zao. Siasa zitawaambia ni wezi, ukweli hautasemwa maana hautamnufaisha yeyote dili ni siri... Siasa ni game hasa ya maneno vitendo baadae
 
Kwa hiyo ameota mkia au?
Maana hata huyo tumbili aliyejifananisha naye huuzika lakini yeye hauziki.
 
Mwizi ni mwizi tu!
Kwa hii laana ya Watanzania Huyu fisadi atakuja kufa kifo kibaya sana.
 

Huyu mzee nahisi kutokana na matendo yake "atakufa mdomo wazi" na kazi kubwa itafanywa kuufumba ili azikwe. Mzee ni kiboko!
 
Ipo siku miti yote itateleza na asijione genius sana,angeipogeza system inayombeba pamoja na u-mbuta wa watz.

Ukimwona nguchiro anakufanyia mbwembwe jua yuko karibu na shimo lake.

JF si mchezo, asiyeijua anaweza kukuita chizi maana mtu unakuwa unacheka peke yako tu.
Haka ka-paragraf ka mwisho nimecheka aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…