Chenge do me a favour - sit down and shut up

Any contribution is a contribution my friend as it may be useful to you or rubbish to someone else. Capish!!!!
Mkuu kwa message yako hapo juu, ume-negate what you said before, kwa ustaarabu naomba umuombe radhi NOT ENOUGH ili tuendelee vizuri na hoja at hand

 

Mi ndo nawashangaa badala ya ku defend hoja wana anza piga hadithi za lugha. Shortly ni kwamba yule hafai kwa Taifa hili labda huko Bairiadi may be he is perfoming some petty stuff
 
lazma utakuwa umeshikishwa wewe kumtetea Chenge! Endeleeni kulala huko Bariadi

GEZAULOLE, what do you want to do with my sex frustrations, do u I hurt any Tanzanian with my sex interest? Mimi naongelea mtu aliyeleta matatizo kwa TAIFA akiwa AG. Acha upuuuzi wewe watu tuna hasira na rasilimali zetu
 
Ni hakika kabisa mtu akiwa ndani ya ccm, kuna elements fulani anapoteza. Mtu kama chenge kwa upumbavu wake hajajua kabisa mzigo unaoiangusha serikali ya Jk ni yeye aliupitisha katikati mikataba yake uchwara akiwa kama mwanasheria mkuu wa serikali. Nikikumbuka mikataba aliyoiingia hasa ya madini namchukia kuliko hata waste product ya ...!!
.
 
Mkuu kwa message yako hapo juu, ume-negate what you said before, kwa ustaarabu naomba umuombe radhi NOT ENOUGH ili tuendelee vizuri na hoja at hand

Mkuu,

I hate stereotype attitudes because in this world no one is perfect let us be honest. Anyway Not enough nisamehe sana kama nimekukosea tuendelee
 
Mdondoaji read my last thread, I have tried to explain why me and all TANZANIANS hate this mzee except you, by the way you shoud also analyse why dont U HATE HIM

Not enough,

I do not hate anyone in this world. Instead of hating Chenge why don't you hate the people from Bariadi who were dumb enough to continue electing the guy as MP despite a mounting evidence that he is a fisadi. To be honest, they are the ones who are responsible for the incompetent guy in the parliament. But if he is elected criticise him and not hating him since he is using his constitutional right to compete for the post in the parliament.

Anyway sorry my dearest!!!!
 

hapo kwenye red naomba muongozo!
 
Huyu Mzee hana haya hata kidogo! hivi kwa nin watu kama hawa Mungu asiwapige viboko hadharani mtindo wa Anania na Safira mbele ya Petro!? Mi skutegemea km angeweza pata hata nafasi ya kuongea! CCM nao hawalioni, wapo wanapiga mikofi yao bila hata aibu! Ama kweli sikio la kufa haliskii dawa!

We real appriciate your stupidity, you Chenge!
 
hakuna mzee mwenye kiburi kama huyu chenge
 
Umesikia mchango wake au unaongea kishabiki tu. Kimsingi kaongea vitu vya maana sana kuliko hata hao kina tundu Lissu wanaoleta uanaharakati usio na maana. Hata kama ana tuhuma hiyo haiwezi kufanya hoja zake zikose nguvu au mantiki. Ni busara kumhukumu mtu kwa historia yake hoja zake. Huu ni umaskini wa fikra.
 
GEZAULOLE, what do you want to do with my sex frustrations, do u I hurt any Tanzanian with my sex interest? Mimi naongelea mtu aliyeleta matatizo kwa TAIFA akiwa AG. Acha upuuuzi wewe watu tuna hasira na rasilimali zetu
hahahaha...we mama yale matatizo yako ya conjugal right yamefikia wapi?kama bado ni NOT ENOUGH thema mi nnayo medicine just gimme you number.Back to topic .what the...excuse me...fk do you mean by he should keep kwayat ndani ya mjengo?is he not a member of parliament.And who are to decide for us people of NYANTUZULAND what our representer should do or not do mjengoni?Mind your bussines
 
Ni kukosa umakini kuanza kudharau watu wa Bariadi kwa kumchagua Chenge kuwa mwakilishi wao. Na haya ndiyo matatizo ya watu wachache kujiona wana uelewa kuzidi wengine. Huwezi kujua sababu za kimaeneo (Local circumstances) zilizowafanya watu wa Bariadi wamchague chenge hadi uwe mtu wa Bariadi. Bahati nzuri watu wa bariadi wana historia nzuri tu ya kutawaliwa na upinzani ambao kwa muda mwingi tu walitawaliwa na Isaac Cheyo. Mtu mwenye Hekima atajisumbua kuanza kujua sababu kuliko kukimbilia kutoa hukumu za ujumla kwa kuwaita watu "dumb". Inabidi ufahamu kuwa inapokuja kwenye suala la ubunge, mazingira na historia ya jimbo ndiyo zinazoamua nani awe mbunge na nani asiwe na sio maoni ya jamiiforum kuhusu mtu au suala fulani. Soma!
 


Sio tu wito na karama mkuu. Saa ingine inabidi kupiga na laga kidogo ili kipande.
 
mbebadilisha thread nzuri kuwa jukwaa la kurekebishana lugha. Hamsaidii mtanzania yoyote kijijini ukisema mwenzako kakosea lugha au alitakiwa aandike hivi. tujadilini hoja sio lugha aliyotumia. nikirudi kwenye hoja nzima, jamaa AC anaelekea bado yupo ndani ya siasa na inabidi tutenganishe mchango wake akiwa bungeni na hayo mengine ya ufisadi yanayosemwa. Kimsingi simtetei lakini hata fisadi anaweza kuongea kitu cha maana.
 

You see this is a kind of nincamput people I am talking about. Mweh we have a long way to go halafu unategemea Chenge au Lowassa washindwe katika majimbo yao wakati wanaonekana miungu watu. Waacheni tu watapike wanavyotaka bungeni wanatumia haki yao ya kikatiba.
 

Umeshatuma email yako lakini au unalalamika tuu? Nenda kwenye hii thred soma yote, then take action by sending an email kupinga pesa za radar zisilipwe serikalini. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...radar-wasipewe-tena-serikali-ya-mafisadi.html
 
Don't worry sweetheart, you at good position and the way you are practising now, it gonna be better. Good lucky and your message have been delivered to all.
Wataalam hivi hizo red mnazionaje. Naomba tusaidiane tu maana shule za ukubwani si lazima iwe darasani.
 
If this country was not God fearing, this bastard would not have been alive and enjoying a free breath! The mess has created for the people of this country would warrant nothing less than being consigned to a butcher who would systematically dismember him to death!
 

Ondoa upuuzi wako hapa jamvini wewe. Cha maana ni huko ku justify upuuzi wa mambo ya madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…