Chenge ni ishara ya upumbavu wa sisi watanzania... tusisahau kwamba mzee chenge pia "anahusishwa" na kifo cha yule binti aliyekua anafanya kazi mwanza hotel, alimgonga oysterbay
Kwa maovu aliyohusishwa nayo, endapo Chenge angekua chama cha upinzani, angekua anaishi jela au hata wameshamnyonga
Lakini msisahau kuwa, alipo Chenge yupo pia Lowasa.
Ukiwa fisadi ndani ya ccm wewe ni lulu!
Hivi huyu mzee si alishawahi kukamatwa bungeni akiwanga?? Ama nimekosea?
Alijitetea kuwa alikuwa anaangalia wapi pa kukaa. La ajabu ni kuwa camera zilimwonyesha akienda hadi kwenye kiti cha Spika. Mbaya zaidi kwa nini akatafute pa kukaa usiku? Tena pekeyake? Hata hivyo kwa jinsi alivyo "mtemi" hayo yaliisha kimya kimya.

wana mwamin kwa kudokoa hivyo ni muhimu sana kwao
Chenge ni ishara ya upumbavu wa sisi watanzania... tusisahau kwamba mzee chenge pia "anahusishwa" na kifo cha yule binti aliyekua anafanya kazi mwanza hotel, alimgonga oysterbay
Kwa maovu aliyohusishwa nayo, endapo Chenge angekua chama cha upinzani, angekua anaishi jela au hata wameshamnyonga
Na si alikuwa uchi??
Viongozi wa CCM huwa wanaunganishwa na uovu, hakuna hata mmoja ambaye hakuwahi kula rushwa au kuiba au kupewa malipo yasiyo halali. Wakati mmoja Warioba akiwa kwenye mkutano wa CCM NEC aliwaambia wajumbe kuwa kama mjumbe au kiongozi yeyote mle ndani ambaye hajawahi kula rushwa au kupokea malipo yasiyo halali asimame, hakuna hata mmoja ambaye alisimama.
Tafsiri yake ni kuwa CCM ni chama cha waovu, viongozi wao ni waovu zaidi kuliko wanaowaongoza.
Hivyo maadili ya CCM ni ouvu na kiongozi wa maadili ni lazima awe mwovu mzoevu. Na hapo ndipo Chenge anafaa zaidi kuliko wote.
Fungukaa,huyo binti kwanini aligongwa? Kuna siri alikuwa anaijua kuhusu chenge?
Mbowe amepokea bil 1.5 kutoka Mkombozi Bank
Kwenye hiyo orodha Mbowe yumo.