Chemshabongo - Kwa Wanaojua Mpira Tu!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
1. Kuna wachezaji wawili tu wa timu pinzani ya Barcelona waliowahi kupata 'standing ovation' kutoka kwa mashabiki wa Madrid - ni kina nani hao?
 
mkuu jibu ni the legendary Argentine wizard of the 80's and early 90, Diego Maradona na Ronaldnho Gaucho
 
1. Kuna wachezaji wawili tu wa timu pinzani ya Barcelona waliowahi kupata 'standing ovation' kutoka kwa mashabiki wa Madrid - ni kina nani hao?

Saint Ronaldo de Assis Morreira almaaruf kama Ronaldinho Dinho Gaucho alishapata 'standing ovation' Mbinguni...

Achana na huyo kiume aliyeshushwa ili kuutia radha mpira wa miguu.
 
Gang Chomba,
sina tatizo na ronaldinho hata chembe, na namkubali vibaya sana, lakini mtakatifu pekee aliyepata kuufanya soka upendwe zaidi ni Diego Armando Maradona, hakukuwa na mtu na hakuna mtu kama yeye kwa kujua kuuchezea mpira, hivi waargentina waamue kabisa kuanzisha kanisa lake wakiomba kwa jina lake wakisema yeye ni mungu wafikiri hilo ni jambo dogo?
Maradona, mchezaji pekee kuweka rekodo ya uhamisho wa dunia na akaivunja rekodi yake mwenyewe, acha kabisa mtu yule, alitoka sayari nyingine kabisa
 
Sawa lakin standing ovation barnebeu si mchezo nakumbuka gaucho alipewa pale wakat anatoka subsitution mashabiki wote wa madrid walisimama na kumpigia makofi kwamba anatisha, mwingine sifaham,

Pamoja na hayo mchezaji anaeongoza kupata standing ovation nying viwanja vikubwa ni alesandro del piero kama unabisha google uone profile yake, jamaa ashapewa oviation santiago barnebeu na madrid fans, old trafold na man utd fans, stade iduna park na bourusia dortumund fans 96, amsterdam arena, sansiro na intermilan fans na kwingineko kibao inaonekana jamaa ametisha sana enzi zake
 
Kaka sikatai kuwa Maradona ametoka Sayari nyingine, ila fahami kuwa Dinho katoka Mbinguni.
Tafuta video za Maradona kisha ni PM nikupatie za Mtakatifu Dinho...
Kuondoka kwake Ulaya mabeki wamefurahi...
 
huyo si mwingine bali ni diego armando maradona
 
Pamoja na hayo mchezaji anaeongoza kupata standing ovation nying viwanja vikubwa ni alesandro del piero kama unabisha google uone profile yake, jamaa ashapewa oviation santiago barnebeu na madrid fans, old trafold na man utd fans, stade iduna park na bourusia dortumund fans 96, amsterdam arena, sansiro na intermilan fans na kwingineko kibao inaonekana jamaa ametisha sana enzi zake

mkuu hapa tunaongelea mchezaji wa mahasimu wa madrid, yaani barcelona kupata standing ovation bernabeu! yaani hi ni sawa na ccm kumpa standing ovation chalii wa arusha, godbless lema kwenye viwanja vya ccm kirumba mwanza!
 
Kaka sikatai kuwa Maradona ametoka Sayari nyingine, ila fahami kuwa Dinho katoka Mbinguni.
Tafuta video za Maradona kisha ni PM nikupatie za Mtakatifu Dinho...
Kuondoka kwake Ulaya mabeki wamefurahi...

dinho ni prodigy/mentee wa diego!

maradona-ronaldinho.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom