Me nimeona 4
Hakuna
zipo sura tano
Hakuna nyuso au unataka niagalie nn?Angalia vizuri....
.JIBU:
Zipo Nyuso za watu 10, ukiangalia kwa makini upande wa kushoto kwa juu kuna nyuso 5, kulia kuna uso 1 kuna huo uso wa mzee katikati...na kwenye huo uso wa mzee kuna watu 3 mwanaume 1 aliyevaa kofia ya Kivietinam na mwanamke aliyebeba mtoto...inakuwa ni Nyuso 10 pamoja na uso wa mtoto!! Asanteni kwa waliojaribu
.
Mkuu, Bushbaby siku nyingine ukileta maswali yako hapa katika kutoa majibu unatakiwa uwaelekeze watu ili wajue kufumbua hilo fumbo lako.
Naona hata baada ya kuwaelekeza maswali/ubishi umeendelea - sasa mimi nimeamua kuonyesha kabisa ili kila mtu aelewe kuwa zipo sura 10 - kama kuna mwingine ameiona nyingine aseme
ATTN: nchasi e2themiza PingPong deejay-nasmile HAKUNA Annael