Chemsha ubongo kidogo

Chemsha ubongo kidogo

Black nyeti

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
673
Reaction score
1,089
Chemsha ubongo kidogo......

Wewe dereva wa basi.....

Basi moja lililokuwa na jumla ya abiria 30 lilikuwa linafanya safari zake kutoka magengo kuelekea patwe. Baada ya mwendo kadhaa basi lilifika kituo Cha Kwanza na kushusha abiria 10 na kituo Cha pili wakashuka Tena abiria 8 na kituo Cha tatu wakashuka Tena abiria 10. Tafuta umri wa dereva wa basi Hilo ikiwa safari yao ilikuwa ni ya masaaa yasiyo pungua 5.......
 
Umri wangu Mm kama dereva, haya leta hiyo changamsha Bongo sasa mana hy ni utangulizi
 
Back
Top Bottom