Kuna kajimtihani kadogo,umeenda dukani kununua sukari kilo 1 lakini kwa bahati mbaya mwenye duka hana jiwe la kilo moja lakini ana jiwe la kilo 10 na la kilo 7.Swali atafanyaje ili aweze kukupimia hiyo kilo moja ya sukari kwa kutumia mawe hayo mawili!
Kwanza kabisa unapima sukari kilo 10 , baada ya hapo unachukua sukari kilo 10 ulopima unapunguza kilo 7 kwa kutumia jiwe la kilo 7, hapo itabakia kilo 3. Baada ya hapo pima tena sukari kilo 10 halafu changanya na ile kilo 3 ilobaki, hapa utakua na kilo 13. Tumia jiwe la kilo 7 punguza kilo 7 kutoka kwenye kilo 13 ulizonazo, hapo utabaki na kilo 6. Sasa pima kilo 7 kisha tumia ile sukari kilo 6 kama jiwe la kilo 6 kupunguza kilo 6 za sukari kutoka kwenye kilo 7 ulizopima, ambapo hapa utabaki na kilo 1 ambayo ndo tunayohitaji.... One more chemsha bongo please...!
Majibu yenu ni mathematically correct lakini hayako economical hasa hili la pili linaloweka mpaka kilo 21. Your manipulation doesn't need to carry more than 10 kgs.Chukua jiwe la kilo 7 pima kilo saba za sukari weka kwenye mfuko,pima tena kilo 7changanya na zile 7 ziwe kilo14,ongeza tena kilo 7 ziwe kilo 21.Sasa chukua huo mfuko wa kilo 21 kwa jiwe la kilo 10 pima kilo 10 toka ktk huo mfuko zibaki kilo 11,then kutoka katika hizo kilo 11 pima tena kilo 10 zitoe ziweke pembeni.Then sukari iliyobaki ni kilo 1,
Chezea majibu yasiyo ya kuchagua wewe!!
Kuna kajimtihani kadogo,umeenda dukani kununua sukari kilo 1 lakini kwa bahati mbaya mwenye duka hana jiwe la kilo moja lakini ana jiwe la kilo 10 na la kilo 7.Swali atafanyaje ili aweze kukupimia hiyo kilo moja ya sukari kwa kutumia mawe hayo mawili!
Wewe si mwenye duka, swali linamtaka mwenye duka! Usipende kurahisisha rahisisha mambo,,, U're A GREAT THINKER banaa...!!!si ninaenda duka lingine..kwani lazima kununua kwake??
Wewe si mwenye duka, swali linamtaka mwenye duka! Usipende kurahisisha rahisisha mambo,,, U're A GREAT THINKER banaa...!!!