Wa kusoma JF-Expert Member Jul 30, 2011 3,454 2,975 Mar 29, 2019 #1 Baba mmoja alikuwa na mabinti 6/sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je? baba huyu alikuwa na watoto wangapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mmoja alikuwa na mabinti 6/sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je? baba huyu alikuwa na watoto wangapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
madeinmusoma JF-Expert Member Jan 7, 2014 322 386 Mar 29, 2019 #3 7 Sent using Jamii Forums mobile app
Bonny JF-Expert Member Feb 21, 2013 13,371 29,942 Mar 29, 2019 #4 Tusichoshane mzee mida hii kwel homeworks?
Rohombaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 13,058 10,345 Mar 29, 2019 #5 Day...hii ipeleke kule Jukwaa la wakubwa Sent using Beretta ARX 160
Baby Doll JF-Expert Member Aug 9, 2017 4,716 21,521 Mar 29, 2019 #7 Watoto saba Sent using Jamii Forums mobile app
K K M JF-Expert Member Mar 24, 2019 225 375 Mar 30, 2019 #9 Hakuwa na mtoto hata mmoja, wote alisingiziwa.
BgB New Member Jan 5, 2014 2 2 Mar 31, 2019 #10 Wa kusoma said: Baba mmoja alikuwa na mabinti 6/sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je? baba huyu alikuwa na watoto wangapi ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 7 Sent from my iPhone using JamiiForums
Wa kusoma said: Baba mmoja alikuwa na mabinti 6/sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je? baba huyu alikuwa na watoto wangapi ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 7 Sent from my iPhone using JamiiForums