Chemsha bongo

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
*METHALI*
utaweza kutambua methali hizi ni zipi? Hemu chemsha akili kidogo.


1.
2.
3.
4.
5.⏱
6.
7.=
8.
9.
10.

Mfano: 7 = mtoto wa nyoka ni nyoka
 
2. Baniani mbaya kitu chake dawa
5.haraka haraka haina baraka
8. Sikio la kufa halisikii dawa
 
4. Fuata nyuki ule asali.
2.banian mbaya ki shoes chake dawa.
6.heri kufa macho Kuliko moyo.
 
Back
Top Bottom