Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,737
1. Amewahi kuwa mchezaji bora Ulaya mara mbili mfululizo, amechezea timu kubwa Hispania, Italia na Ufaransa, mpaka kesho mashabiki wa ligi ya Uingereza wanatamani angecheza kwenye ligi hiyo wamuone laivu - ni nani?
2. Amewahi kufunga magoli 3 (hat trick) katika dakika 5+ za mwisho, ana medali ya Olimpiki, amecheza ligi za Italia,Uholanzi na alikuwa kwenye kikosi kisichofungika/kisishindwa katika ligi ya Uingereza- nani huyu?
3. Ni mchezaji pekee ambaye amekuwa kwenye timu zaidi ya 2 zilizotwaa kombe la mabingwa ulaya, moja ya wachezaji wachache sana wa nchi za ulaya kucheza kwenye ligi kuu za Marekani ya Kusini - nani yeye?