Chemsha bongo ya Escrow

kindafu

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,346
1,677
Katika mjadala wa escrow bungeni Ukawa waliionya CCM kuwa "Singa Sethi" anaweza kuiangusha kama ambavyo aliiangusha KANU! Tunajua kuwa KANU iliangushwa pamoja na mambo mengine, kutokana na "Ikulu ya Moi" kufanya "dili chafu" na Singa Sethi na dili hilo likashtukiwa na kuanikwa hadharani! Je, Ukawa wanamaanisha katika sakata la escrow huyu Singa Sethi kafanya pia "dili chafu" na "Ikulu ya Kikwete"? Au walimaanisha nini hasa?
Najiuliza:
i. Kama ndivyo, kwa nini Ukawa hawakutumia kete hiyo kumaliza game? Au nao ni wale wale?
ii. Kama ndivyo, CCM inafikiri iko salama kwa muda gani bado kwa "kombe lililofunikwa" kutokana na maridhiano?
iii. Kulikoni wachambuzi wa maswala ya siasa hawajafanya comparative analysis ya "Sethi wa KANU Vs. Sethi wa CCM"?

N.B. Am just thinking aloud!
 
Your thinking has been duly noted.
Its worth taking a note

iii. Kulikoni wachambuzi wa maswala ya siasa hawajafanya comarative analysis ya "Sethi wa KANU Vs. Sethi wa CCM"?

N.B. Am just thinking aloud!
 
Mimi najibu suali la mwanzo. Ukawa wanasubiri kulitumia katika campaign zao

Back
Top Bottom