Chemsha bongo wa wanasoka

satrumin

Member
Mar 26, 2017
15
5
"Nimeshinda Ligi Kuu Nchi mbili tofauti...,, Mimi sio Muingereza na sijawahi cheza Ujerumani...,, Nimeshinda pia World Cup na CHAMPIONS LEAGUE...,, Nishawahi kucheza na KAKA pamoja na ROBINHO ila sijawahi kabisa kucheza na MESSI wala RAMOS.....,, Nishafundishwa na MOURINHO lakini sijawahi fundishwa na GUADIOLA wala ANCELOTI"...., JE, MIMI NI NANI......!??

Chemsha bongo kwa wapenda soka
Morning my people!!!!!
 
Mimi ni mchezaji
 
Back
Top Bottom