Chemsha Bongo na Picha Kuna wanyama wangapi hapa?

Ila uzi ni unasema kuwa Chemsha bongo na picha kuna wanyama wangapi hapa...?.

Sasa mtu anaposema mnyama anamaanisha mamalia kama skosei sasa mbona watu wanataja na ndege kwani ndege anaingia kwenye kundi la wanyama wakuu,SAMAHANI NAULIZA TU.
 


Answers suggested, mention them all!

Ukisema wanne, wataje..

7, wataje,

8, wataje, na

12 wataje vile vile!

Wako nane.
Fish 🐠
Dolphin 🐬
🐶 dog
Cat
🐀 rat
Elephant 🐘
Bird 🐦
Horse 🐴
 
Mie nimeona wanyama na viumbe wa maji chumvi
 
hebu akuje mutu hapa anitafsirie kwa kiswahili hayo majina tajwa hapo juu..lol
 
Saba. .tembo. farasi. Panya.tai.papa.mbwa.cheetah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…