Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,549
1. Nimeuza nyumba yangu na viwanja wangu viwili ili nimlipie ada " Aisha" mpenzi wangu. He mimi ni nani?
2. Nimekimbia chuo baada ya kupewa boom la semester ya pili na pesa ya research nimeenda kuanzisha biashara. Je mimi ni nani?
3. Naomba JF ushauri kuhusu aina nzuri ya gari inayofaa kwa matumizi ya familia ya watoto wawili, mke na beki tatu...kumbe ndo nimehitimu hata ajira yenyewe bado sijapewa. Je mimi ni nani?
4. Leo nmekamatika kwani nmejikuta natoa maana ya neno fulan kumbe nmeenda chaka watu wakanishambulia sana ; nikaamua kujitetea, lakini wapi. Anyway nikakubali yaishe. Je mimi ni nani?
ASANTENI